Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
- Thread starter
- #21
i
nimeipenda hii mkuu, nimekugongea thanks
Niko barabarani nasikiliza Radio, kuna mganga anatibu magonjwa kibao, anauwezo wa kumrudisha mke, kumfanya mume atoe hela, kumtuliza mume mkorofi anayepiga mke, kusaidia wachimba madini, kumrudisha mtu kazini aliyefukuzwa na akapandishwa cheo dah!
Kweli Tanzania kiboko! Kipokolo ukiiba ofisini jamaa anakurudisha! Sasa sijui EL alimuona? Si unaona kaukwaa uenyekiti!! Na inawezekana ttukamuona serikali ikatoa hela na ikaacha kupiga raia mabomu! Yuko Moshi Vunjo Guest House karibu na Ofisi ya CCM ya Wilaya. Tangazo nimelisikia Moshi FM!
Si unajua watu hawachelewi kunidai ushahidi!