aisee mamndenyi niaje ulishaona wapi k/party ya siku moja ndo maana kama ulikuwa hujui tola nyumbani kunakuwa na kazi sana ma bi harusi wengi..Asante sana, hii itasaidia hasa mabinti zetu kwani wengi mapishi hawajui, na badala ya kufundishwa mapishi, wanafundishi k/party ambayo ni ya ndani zaidi.
kama unaharaka sana haina haja ya kuandaa chakula cha asubuhi we piga zako lampard tu!jinsi yakuaanda chakula cha asubuhi ambacho ni cha haraka hasa kwa sisi wanaume naombeni maujuzi kwa hili..
jinsi yakuaanda chakula cha asubuhi ambacho ni cha haraka hasa kwa sisi wanaume naombeni maujuzi kwa hili..
Kijana hauko serious! Yaani unataka magreat thinkers waanze kuwaza msosi baada ya kufikiri sana!au wadau wa huu uzi mnasemaje..