King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
Nashuru,
Kesho jumapili nafanya hili zoezi, ntakuja na feedback
Karibu. Unaweza kuvunja spaghetti mara tatu ili uzikaange kidogo. Zinakuwa na taste, muonekano na harufu ya tofauti. Hapo utaongezea tu maji ya moto na kuchuja kama kawaida zikiishaiva. Baada ya kuchuja, immediately weka butter, margarine ama mafuta kidogo kama hutatumia cheese.