Jukwaa La Mapishi, Food Corner

Asante sana, hii itasaidia hasa mabinti zetu kwani wengi mapishi hawajui, na badala ya kufundishwa mapishi, wanafundishi k/party ambayo ni ya ndani zaidi.
 
Aisee...ngoja nihamie huku.

Jana nimeoka mkate mtamu kweli
 
Attachments

  • IMG1325.jpg
    IMG1325.jpg
    600.9 KB · Views: 392
Asante sana, hii itasaidia hasa mabinti zetu kwani wengi mapishi hawajui, na badala ya kufundishwa mapishi, wanafundishi k/party ambayo ni ya ndani zaidi.
aisee mamndenyi niaje ulishaona wapi k/party ya siku moja ndo maana kama ulikuwa hujui tola nyumbani kunakuwa na kazi sana ma bi harusi wengi..
 
jinsi yakuaanda chakula cha asubuhi ambacho ni cha haraka hasa kwa sisi wanaume naombeni maujuzi kwa hili..
 
nashauri hili jukwaa lingekuwa kwenye educational science and tech kutokana linahusiana na mambo ya mafunzo ya upishi kwani lina msaada sana kwa wote wanawake na sisi wanaume..hii ni kutokana na lenyewe kuwa uzi..
 
Ni kweli maneno yako, tusubirie Administration ya JF wafanye vitu vyao.
 
Kaanga yai, weka katikati ya slace mbili za mkate. Katakata nyanya,hoho na vitunguu pia weka katikati (yani juu ya mayai yakifunikwa na slace) inakuwa kama sandwich! Unakunywa na chai! Voilà!
 
jinsi yakuaanda chakula cha asubuhi ambacho ni cha haraka hasa kwa sisi wanaume naombeni maujuzi kwa hili..

toast slices za mkate
katakata nyanya na vitunguu, changanya mayonaise na vinegar
weka katikati ya vipande vya mkate ulivyotoast
voila
 
Back
Top Bottom