Jukwaa la Katiba Live Mlimani TV leo

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Taarifa zangu za kiintelijensia zimenipasha kuwa leo viongozi wa Jukwaa la Katiba watakuwa na kipindi Live Mlimani TV kuanzia saa mbili unusu usiku. Naamnini wanaweza kujibu hoja nyingi zilizotolewa na wabunge kuhusu uhalali wa jukwaa kuwawakilisha wananchi na pia mchakato mzima. Atakayekuwa na access ya kuangalia tafadhali atupe updates kipindi kitakapoanza.
 
hadi sasa nimepata jina la mshiriki mmoja Deus Kibamba ingawa nimearifiwa atakuwa na mwanaharakati mwingne toka Jukwaa

Kama ni Deus Kibamba tunaomba wenye access na hiyo tv watupatie updates, maana huyo jamaa ni chuma cha pua kwenye harakati.
Hofu yangu ilikuwa labda wangekuwa Nape, Mukama, Shibuda, Lowassa na wapumbavu wenzao wengine wengi

anyway, thanks for info.
 
kituo gani ha televishe? intelinjiesia yako mbna kama ya mwema bana
Join Date : 15th November 2011
Posts : 68
Rep Power : 21

Umejitahidi sana, siku mbili tu tangu ujiunge tayari una post 68????? welcome aboard
 
KUELEKEA KATIBA MPYA, ZANZIBAR MOJA -TANZANIA VIPANDE VIPANDE!!!1

Mambo yakienda kama yalivyo katika kuelekea kupata Katiba mpya tunashuhudia Zanzibar ikiwa na Umoja na Mshikamano katika kutetea Maslahi ya Zanzibar lakini tofuati na huku Bara tunakwenda kwenye meza tukiwa na makovu ya kurushiana vijembe na kuonyesha umwamba kati ya CHADEMA na CCM. Inamaana tunaenda kwenye Katiba mpya bila kuwa na utengamano wa kitaifa. CCM mnatupeleka wapi!!!?????????
 
Kama ni Deus Kibamba tunaomba wenye access na hiyo tv watupatie updates, maana huyo jamaa ni chuma cha pua kwenye harakati.
Hofu yangu ilikuwa labda wangekuwa Nape, Mukama, Shibuda, Lowassa na wapumbavu wenzao wengine wengi

anyway, thanks for info.

hawa jamaa wanapatikana pia katika king'amuzi cha startimes siku hizi kwahiyo wale walioko mikoani kama Arusha, Dodoma, mwanza na kwingineko kwenye king;a,uzi hiki basi wanaweza kutazama kipindi hiki. bahati mbaya sitaweza kutoa updates sababu ya majukumu wakati huo lakini atakayeweza ku-update atusaidie plz
 
ni channel ya ngapi kwenye king'amuzi? let me know pls
 
hawa jamaa wanapatikana pia katika king'amuzi cha startimes siku hizi kwahiyo wale walioko mikoani kama Arusha, Dodoma, mwanza na kwingineko kwenye king;a,uzi hiki basi wanaweza kutazama kipindi hiki. bahati mbaya sitaweza kutoa updates sababu ya majukumu wakati huo lakini atakayeweza ku-update atusaidie plz

Mkuu huku Dom haipo hyo Mlimani Tv kwani natumia king'amuzi,channel number ngapi?
 
Mkuu huku Dom haipo hyo Mlimani Tv kwani natumia king'amuzi,channel number ngapi?

Kwa walioko mikoani, Mlimani tv inapatikana kwenye king'amuzi cha magumashi, cha kichina-startimes. Kama unacho utaweza kuipata bila chenga.
 
sina hakika kama inapopatikana kwa dar ama mkoa mmoja ndipo inapopatikana pia kwa mikoa mingine. lakini ipo karibu na Sibuka TV namba 32 ama mbele kidogo
 
Join Date : 15th November 2011
Posts : 68
Rep Power : 21

Umejitahidi sana, siku mbili tu tangu ujiunge tayari una post 68????? welcome aboard

hizo posts 68 in very few days ni sawasawa na na missed call kwenye mobile phone.
 
Back
Top Bottom