Jukwaa la Katiba Live Mlimani TV leo

wakosoa madaraka makubwa ya raisi katiba kuunda tume ya katiba..amesema kenya wao raisi aliteuwa wajumbe wachache na wajumbe walitoka katika makundi mbalimbali ya wananchi
 
kibamba asingoelee huo mswaada maana tayari umeshasomwa mara mbili...atumie mda huo kutoa maeleo lini na wapi wananchi wakutane na kuanza maandamamno....mwambieni atumie mda huo vizuri na sio kupaka rangi upepo
 
wakosoa madaraka makubwa ya raisi katika kuunda tume ya katiba..amesema kenya wao raisi aliteuwa wajumbe wachache na wajumbe walitoka katika makundi mbalimbali ya wananchi
 
Huyu Kibamba si alisema muswada ukisomwa mara ya pili ataanzisha maandamano nchi nzima? Hawa wanaharakati njaa hawafai katika jamii yetu. Anaahidi maandamano wakati hana hata mfuasi mmoja.
 
Yes!! Nilikuwa nahangaika kupiga simu kuuliza swali ambalo Makei amenisaidia.Thanks! Ni kuhusu msimamo wa Jukwaa la katiba juu ya mswada kusomwa kwa mara ya pili!
 
Kibamba anawambia wabunge wao (jukwaa la katiba) wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria! Wasimtaje yeye wakadhani yupo peke yake' anasema jukwaa la katiba linajumuisha asasi zaidi ya 100 na tangu wabunge walishambulie jukwaa(jumatatu hii),asasi zaidi ya 30 zimejiunga na jukwaa.
 
Siasa inapewa definition chafu kinyume na siasa yenyewe,mchakato lazima uhusishe wanasiasa cha msingi iwe ktk maoni sio maamuzi!
 
M2julishe maana huku mabatk ya salma yameisha kushonwa,hv umeme ngeleja kaondoa.Pia ht hyo mliman tv haipatkani.
 
kibamba akwepa swali la maandaano yanaanza lini, amesema wao jumapili waliwakilisha mawazo tu yananchi waliyoamua ile siku amezingua zingua amesema mpaka wakae wajipange halafu ndo watatoa tamko
 
Msimamo wa jukwaa kuhusiana na maandamano' anasema yeye alikuwa anatoa majumuisho ya washiriki wa mjadala,anasema kuwa wataratibu kulingana na matakwa ya wanchi,na ipo siku watayafanya na yatakuwa makubwa yatakayoshirikisha wananchi wote,wanasubiri kikao cha bunge kimalizike na wao watakaa kikao halafu watapanga lin yafanyike muda ukifika.Anaomba polisi wayalinde maandamano dhidi ya wabunge wenye bastola na risasi.
 
Back
Top Bottom