Joyce kiria na bongo movie

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Kulikono joyce mbona kaingia chaka bila hata taarifa katika kipindi cha bongomovie bila hata taarifa kipindi hakirushwi kulikoni????
 
Hivi huyu binti ni kweli ndoa yake ilivunjika siku za mwanzo kabisa baada ya Harusi au ni uvumi tu wa kuwapakazia celebrity wa TZ?
 
Kulikono joyce mbona kaingia chaka bila hata taarifa katika kipindi cha bongomovie bila hata taarifa kipindi hakirushwi kulikoni????
Majuma kama ma3 yaliyopita alisema kwenye kipindi chake hakitakuwepo mpaka kitapotangazwa tena_Naona kachukua likizo ya uzazi si unajua anaKIBENDI?
 
Na Imelda Mtema ..
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Bongo Movies kinachorushwa na EATV, Joyce Kiria, mwishoni mwa wiki iliyopita alikumbana na kisu baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji, Amani linakudondeshea mpango nzima.

Joyce ambaye pia anatangaza Kipindi cha Wanawake Live katika runinga hiyo, alijifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Marie Stopes Mwenge, Dar es Salaam. Gazeti hili lilipopata taarifa hizo lilimsaka Joyce ili kupata habari zake zaidi lakini hakupatikana kwenye ‘kilongalonga' chake cha kiganjani
Source :...Ze magazeti pendwa

Hivi siku hizi kuzaa kwa kisu ndo mpango mzima au inakuwaje mana masister du wengi ni mwendo wa kisu tu!! nini siri ya urembo!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom