Joshua Nassary ataka Kamati za Zitto na Mrema kuvunjwa pia!

Compareno.............. Can you make a comparison between Nassari and Silinde? Is like Pure drinking water VS Maji taka!!!!!!!!!!!!!!!!

Pole sana nadhani wewe umechanganya silinde na RUSINDE Silinde ni chadema na rusinde ni yule mporomosha matusi wa ccm.
 
wakifanikiwa wale watu mtayumba sana na tayari mmeanza kuyumba ...hivi mnajua jana kulikuwa na hafla ya kupongezana?
Mkuu, naomba ufunguke kwa faida ya wote! yaani hapa umetuacha njia panda....binafsi huwa naamini sana habari zako.
 
Sijui aibu hii zitto ataipeleka wapi.

Kuna mmoja wa waliokuwa Mawaziri aliwahi kuniambia kwamba Zitto alihongwa M60 suala la CHC kuongezewa mkataba, mimi nikaona kama anampiga vijembe tu kwa sababu ni mpinzani, lakini leo naanza kupata picha!!!!
 
jana usiku nilidokeza hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/299895-hafla-imekwisha-na-sasa-ni-kikao-kimeanza.html jaribu kupitia upate mwanga kidogo..mengine nasubiri spika makinda atii amri aliyopewa ndio tutaelezana

Mkuu tiririkaaaaaaa au ushasikia tiss wanakutafuta kama Jason Bourne,ushaanza kuogopa tiririkaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! "Nyumbani umeaga na ukablaze kisha babu akakuchinjia ng'ombe uje town utetee wanyonge" tiririkaaaaaaaaa!
 
kijana alikuwa sahihi sana, na ameangalia mbali, ni lazima wa wala rushwa wengine washughulikiwe kama wenzao wa nishati na madini
 
Compareno.............. Can you make a comparison between Nassari and Silinde? Is like Pure drinking water VS Maji taka!!!!!!!!!!!!!!!!
you have gone too far prince., hawa wote ni wabunge. kama una chuki binafsi na mmoja wapo ndo useme hivo..
 
Ni hivi punde Mh. Joshua Nassary ameomba mwongozo wa kiti kuhusu kashfa ya rushwa inayozikabiri kamati hizo za madini na ile ya mashirika ya umma..amemtaja zito na mrema na ikiwezekana wafukuzwe au wabadilishiwe kamati...nawasilisha
Hao kina CCM ni kicheko tu!
 
Mh.Nassary kaongea vitu vya msingi...Huu mwaka Zitto hata usahau kabisa!..
 
Hii nchi... ptuuu... Kuna mmoja wa waliokuwa Mawaziri aliwahi kuniambia kwamba Zitto alihongwa M60 suala la CHC kuongezewa mkataba, mimi nikaona kama anampiga vijembe tu kwa sababu ni mpinzani, lakini leo naanza kupa
 
Hii nchi... ptuuu... Kuna mmoja wa waliokuwa Mawaziri aliwahi kuniambia kwamba Zitto alihongwa M60 suala la CHC kuongezewa mkataba, mimi nikaona kama anampiga vijembe tu kwa sababu ni mpinzani, lakini leo naanza kupa


alikudnganya na wewe ukadanganyika...kuhusu swala hilo zitto mwenyewe alisema bungeni kuwa ikithibitika amepkea rushwa basi ataachina nyazifa zote ikiwa ni pamoja na ubunge..waziri wa fedha wa kipindi hicho (mkulo) alishindwa kuthibitisha kuwa zitto na kamat ake walipokea rushwa
 
Dakika tano zilizopita Joshua Nassary ameomba mwongozo toka kwa Naibu Spika kwamba isivunjwe Kamati ya Nishati tu kama ilivyoelezwa wiki jana, bali kamati zote zinazotuhumiwa kwa rushwa kama Kamati ya Augustine Mrema, Kamati ya Zitto Kabwe, na nyingine nimeisahau.

HOja yake ni kwamba utendaji wa kamati hizi unahusisha mikataba mingi na ndiyo maana wabunge wengi wanazikimbilia na wanaacha Kamati kama ya Huduma za Jamii.

Hivyo wazo lake ni kwamba wabunge wa kamati zile watawanywe kwenye Kamati zisizo na Mikataba ili waonje huko kulivyo kuvunjilia mbali tabia ya wabunge kukimbilia zile zenye Mikataba.

Imebidi Naibu Spika aite Kamati ya Uongozi wa Bunge ili ijadili suala hilo na walete majibu baadaye.

Bravo Joshua Nassari,

Ni kweli kabisa ule usemi wa Mbunge 1 wa CDM=Wabunge 10 wa CCM unajidhihirisha!
Mhe.Nassari ni dogo janja ambaye ameingia juzi tu Bungeni lakini michango yake inaonekana wazi. Kwa CDM hiki ni kitu cha kawaida sana kwa Wabunge wake kutoa michango na hoja zenye mashiko.

CDM saafi sanaaaaaaaaaaaa!
 
alikudnganya na wewe ukadanganyika...kuhusu swala hilo zitto mwenyewe alisema bungeni kuwa ikithibitika amepkea rushwa basi ataachina nyazifa zote ikiwa ni pamoja na ubunge..waziri wa fedha wa kipindi hicho (mkulo) alishindwa kuthibitisha kuwa zitto na kamat ake walipokea rushwa

Zitto hatumuamini tena hata ukimteteaje his era has gone forever
 
hii safi sana CDM taratibu inachanika katikati... dogo mropkaji spotlight alopata haimtoshi & he demands more ...
 
Back
Top Bottom