Joshua Nassari timiza ahadi yako ya kushusha bei ya sukari Arumeru Masharaki

Wana JF.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wananchi wa Arumeru Mashariki wakimachagua kuwa mbunge wao atashusha bei ya sukari, ni vizuri angeanza na hili la Sukari na wabunge wengine waige mfano kwake.

Gamba na cra p
 
Ahadi ni deni Nassari mwenyewe ndio alitoa hiyo ahadi kuwa atashusha bei ya sukari hakuna ubaya watu kuulizia amefikia wapi kwenye ahadi yake, kuna watu wangine walimpa kura kwa mategemeo makubwa sukari itashakuka bei.
 
Suppose you start by asking JK and his subordinates to fulfill their promises they made in 2010.. why in such nonsense hurry? I hope you're such a big mouth hypocrite, better shut up. The guy just took oath of office thisday, have you done so to your fellow magambaz? shame on you irresponsible little/old fool..
 
Tuache ushabiki wa kizandiki hapa, suala la kushusha bei ya sukari, na mengine yanayofanana na hayo ni matokeo ya kufanya restrycturing ya mfumo mzima wa serikali. Kwa mfano, kule Karatu imewezekana baadhi ya mambo kupunguza mzigo kwa wananchi kwa sababu halmashauri inaongozwa na Chadema, kwa hiyo wanaweza kufanya maamuzi ya kumsaidia mwananchi kwa yale yaliyo ndani ya uwezo wao. Kuhusu Arumeru, haiwezekani leo hii Nassari akajiamulia tuu over night kufanya kitu kama hicho, kinahitaji muda na tuombe next election apate madiwani wengi sana ili waongoze halmashauri.
Acheni mawazo mgando.

lakini ndugu yangu mhe wakati anaahidi hakufahamu hilo ? haya mavyama hayana tofauti kabisa tatizo lililopo ccm ndi hilo hilo lililoko cdm,mvinyo ule ule labda tofauti tunayoitafuta ni chupa
 
Acha umagamba wako hapa, wewe umeona hili la joshua kushusha bei ya sukari, hili la Kikwete barabara za juu Dar es Salaam hivi ni miaka 7 madarakani hata dalili ya barabara moja hakuna, wewe hujaliona?
 
Mkinichagua Nitajenga Flyover ubungo, Mwenge,Tazara na Chang'ombe kuondoa foleni.. JE AMEJENGA?Mkinichagua Ntajenga machinga Komplex zingine Tano... JE AMEJENGA?Mkinichagua nitaleta maisha bora kwa kila Mtanzania.... JE AMELETA?Toa kwa Boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.Waweza kuongezea zingine ....

HUYU NASSARI NDIO KWANZA ANA WIKI MOJA TU, NA HATA KUAPISHWA BADO MMESHAANZA POROJO. lakini wale waliotuahidi toka 2005 na 2010. akhaaaa hatusemi kitu.

Mkinichagua nitagawa Pikipiki za matairi matatu (BAJAJ) kwa vituo vyote vya Afya ili kurahisisha usafiri kwa Wajawazito;

JE, AMETIMIZA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kweli watu tuna Vituko; Hata hajaapisha unamtaka atekeleza suala la Sukari

Wewe kweli uko makini au ni kuishushia hadhi jamii forum?
 
Mkinichagua Nitajenga Flyover ubungo, Mwenge,Tazara na Chang'ombe kuondoa foleni.. JE AMEJENGA?Mkinichagua Ntajenga machinga Komplex zingine Tano... JE AMEJENGA?Mkinichagua nitaleta maisha bora kwa kila Mtanzania.... JE AMELETA?Toa kwa Boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.Waweza kuongezea zingine ....

ongezea- mkinichagua nitaleta meli tatu kubwa ziwa victoria.
 
Angalieni nilivyokonda;Mwili umetapakaa kwa mifupa; Sina hata nyama mwilini!!!

Haya ndio Maisha Bora kwa Kila Mtanzania!!!!MLIYOTUAHIDI!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Attachments

  • Skeleton.jpg
    Skeleton.jpg
    7.3 KB · Views: 67
Wana JF.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wananchi wa Arumeru Mashariki wakimachagua kuwa mbunge wao atashusha bei ya sukari, ni vizuri angeanza na hili la Sukari na wabunge wengine waige mfano kwake.

Acha pupa wewe kaapishwa juzi tu leo unataka atimize ahadi?napata mashaka na uwezo wako wa kufikiri, unahitaji kutembelewa na M4C ili gamba likuvuke.
 
Wana JF.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wananchi wa Arumeru Mashariki wakimachagua kuwa mbunge wao atashusha bei ya sukari, ni vizuri angeanza na hili la Sukari na wabunge wengine waige mfano kwake.
Kwangu mimi sukari ni anasa, cha kwanza ni maji, Joshua ameshaanza na maji, hongera Dogo Janja! achana na hawa vibwengo wa chama cha makalio.
 
Dah! Wakati nafungua nimekimbilia kuangalia id kama ni ya ritz,
kumbe jenzake,
Nassari mbunge wangu hata akiamua kutorudi jimboni akabaki dodom/au popote akila bata, bado tutampa kura,
so relax kijana
 
Wana JF.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wananchi wa Arumeru Mashariki wakimachagua kuwa mbunge wao atashusha bei ya sukari, ni vizuri angeanza na hili la Sukari na wabunge wengine waige mfano kwake.

Hasira za kushindwa.mbona ujamuliza kikwete maisha bora kwa kila mtanzania yamefika wapi?
 
Ahadi ni deni Nassari mwenyewe ndio alitoa hiyo ahadi kuwa atashusha bei ya sukari hakuna ubaya watu kuulizia amefikia wapi kwenye ahadi yake, kuna watu wangine walimpa kura kwa mategemeo makubwa sukari itashakuka bei.

Ahadi zaidi ya 100 zimefikia wapi?tungeanzia hapo kwanza
 
Back
Top Bottom