Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

Status
Not open for further replies.
Kwanza kitu walichokifanya leo viongozi wa Chadema kumpokea Lowassa viongozi wote wakubwa na kumpa fomu huku tundu lissu akisema kabisa ukiunda serikali yako(yaani anamwambia lowassa) inamaanisha kuwa uongozi wa Chadema umeshampa nafasi lowassa ya kuwa mgombea wa uraisi kwa iyo zoezi la kuchukua fomu limetangazwa kama geresha tu.
CCM wagombea wote walienda kuchukua fomu na wakifika ofisini wanamkuta mohamed seif khatibu tu anawapa fomu wao ndo wanaenda kujielezea huko. Hamna hata mgombea aliyesindikizwa na mwenyekiti au aliyeanza kama kutangazwa kuwa ndo mshindi.

Hizi ndo mistakes ambazo Chadema mnazifanya na kwa watu wenye akili wanajua kumbe nyie mmeshanunuliwa tayari na vitu vyote mnafanya kama maigizo tu.

Kusema kweli hata mie sijaamini maneno ya tundu lissu na mbowe wakati lowassa anachukua fomu, at least you werte supposed to show that kuna fair ground/play kwenye michakato yenu.

CHADEMA/UKAWA MMETIA AIBU NA SITASHANGAA DR. SLAA AKIAMA KWA SABABU MMEONYESHA NI WANAFIKI WA HALI YA JUU NA KIBAYA ZAIDI HAMUWAFANYII UNAFIKI WATANZANIA TU, HADI NYIE WENYEWE MNAFANYIANA UNAFIKI.

KWELI FEDHA MWANAHARAMU.

Yaani ushenzi afanye mbowe na genge lake kupiga pesa alafu lawama anapewa Josephine. Kweli naamini wafuasi wa Chadema ni misukule.
Nakuunga mkono kwa nguvu zote mkuu
 
Ila hizi kashfa zenu zinavunja watu mioyo.!!

Tambueni na tena eleweni, Chedema imejengwa ktk misingi ya kupinga ufisadi, ni ktk ajenda hiyo Cdm imejipatia mashabiki na Wanachama lukuki wakiandamana na chama hiki kwa ajenda yake hiyo.

NA MTU PEKEE ALIYESIMAMA IMARA BILA KUYUMBA KUPIGANA NA AJENDA HII NI DR SLAA PEKEE.!!

Ni uvunjifu wa Maadili na ukosefu wa Adabu kufikiri kwamba Dr Slaa anaweza kushinikizwa kufanya maamuzi fulani na Mkewe. Huu ni upunguani wa hali ya juu sana. Yaani mtu tena mwanachadema unakuja hadharani na kudai Mkewe Dr Slaa kamfungia ndani Mmewe kwa kigezo cha kukosa U-First Lady? Hivi ni nani alijiaminisha kwamba Cdm tungeweza kushinda uchaguzi huu na Dr kuingia Magogoni kiasi Josephine awe First lady?

Jamani ninyi ni watu wazima, wekeni akiba ya Maneno.

Ndani ya Cdm hakuna mtu mwenye hadhi ya kumfikia Dr Slaa, iwe ni ndani ya nchi au nje ya nchi. Hata kama kunaugomvi unaoendelea ndani ya chama baada ya ujio wa Lowassa, tafuteni maneno mazuri ya kuongea mbele za watu. Huu upumbavu mnaokuja nao hapa ndani haukubaliki. Mtu mwenyewe mnayeshadidia hapa HATA KADI YENYEWE HAKURUDISHA.. KAJA CHADEMA KUGOMBEA URAIS BAADA YA KUKATWA HUKO KWAO. AKISHINDWA URAIS SI AJABU AKAREJEA TENA HUKO CCM (kadi si anayo?

Leo mnakuja kadharani kumkashifu Dr, aliyepigwa mabomu kwaajili ya Cdm, Aliyelala ndani kwaajili ya Cdm, Mtu ambaye ametumia maisha yake yote kwaajili ya kuijenga Cdm na leo iko hapa ilipo kiasi cha kuwatamanisha hao wengine kuingia.. Malipo anayoyapata ni kashfa kama hizi... kweli hii ni Cdm ninayojua mimi kweli???

Kuweni makini na maneno yenu humu ndani, Yanaweza kusababisha kuondoka watu wengi kuliko mnavyodhani..!! Wengine sisi ingawaje yumehiyari kumpigia kura huyo Lowassa, lakini hatuwezi kuvumilia kashfa kama hizi kwa Dr Slaa. Huu ni ujinga.

BACK TANGANYIKA

mkuu siku zote mawazo yako ni Huru na yako makini na ni ya ukweli. pia ukimia wa dr slaa unaidhoofisha chadema, na unaleta mkanganyiko mkubwa sana
 
Mkuu unajielewa? Ikiwa nikweli huyo EL ni fisadi kwanini hamkumpeleka Mahakamani au Unathibitisha kile wanachosema watani zenu kuwa Mfumo wa chama chenu CCM ndio unaoua hii NCHI kwakulindana

Mkuu emh jitoe akili kidogo umuulize mbowe,lissu au kiongozi yeyote wa chadema kwamba kwanini sasa hivi hatuendi mahakamani na ushahidi lowassa kashatupatia na mwingine slaa alikua nao!?
 
Ila mie picha inakuja tofauti watu wasioonekana ni akina Safari,Baregu,Slaa,Mnyika,TL ninadhani hapa CCM wanapotezwa maboya,hawa watu watakuwa wapo busy na mambo ya chama hasa Ilani na mkutano mkuu na kupanga mikakati ya kuing'oa CCM.
 
Kwani familia na siasa kipi muhimu?

Kuna watu wanaonekana kujitoa ufahamu na kuona siasa ndio kila kitu.

Kikweli Slaa amedhalilishwa sana kwa maamuzi haya ya kichuuzi y Chadema, ni haki ya Josephine kuingiza senses akiona mme wake anapotoka...

In fact Josephine atakuwa ni mwanamke mwenye uelewa wa hali ya juu. Mtu mzima anaingizwa mjini na vijana wadogo kama kina Mbowe na kudhalilishwa hivyo halafu mke akae pembeni tu achekelee?
 
mkuu siku zote mawazo yako ni Huru na yako makini na ni ya ukweli. pia ukimia wa dr slaa unaidhoofisha chadema, na unaleta mkanganyiko mkubwa sana

Sasa yupi ni rais wa mioyo yenu? Manake wiki mbili tu nyuma mlikuwa mkimwita Dr. Slaa kuwa ni Rais wa mioyo yenu anayesubiri kuapishwa. Mara kaingia Lowassa, sasa lugha imebadilikia. Ni kashfa kwenda mbele. Makamanda mnatisha!
 
Slaa kweli ovyo yaani mwanamke anakuweka kizuizini...huyo mwanamke hafai kabisa ndio maana slaa alimuacha hata mkewe kisa hilo sugar mumy...chezea mtoto wa kihaya wewe

Huwez jua Dr. anapewa nn na huyo mama. Hawa wanawake acheni tu. Mi hata sitaki kuhukumu maana naelewa. Kuna wanawake wakikuweka kiganjani hupindui. LOL

Walitegwa akina adam na samson karne hzo sembuse Dr. Tehe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom