Hivi Mkuu bado unamuamini Yeriko? Juzi aliweka mada humu akieleza eti yule aliyepigwa na Job Ndugai kafariki. Tena ikawekwa kwenye hadhi ya Breaking News. Hata haijapta nusu sasa ikadhihirika ni uongo uliopitiliza. Mie nimemuweka kwenye kundi la wadau wasioaminika.
Wewe nguberi tulia mpini wa lowassa ukuingie
Sijapenda post za watu wanajiita makamanda wa Chadema kumkashifu Dr.Slaa na familia yake.
Mikono yake taabu kunyanyuwa itakuwa mpini?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mtoa posti mpuuzi kweli! Katiba yetu haijasema kuhusu "First Lady". Hayo ni mambo binafsi. Kuleta umbeya humu halafu mijitu imeshadidia kweli! Ni kumdhalilisha kamanda wangu Dr. Slaa kwa sababu ya ujio wa fisadi.
Mkuu Mungi umenikwaza sana , sidhani kama hapa palikuwa sahihi kuweka hii kitu .
Hivi watu wengine integrity yenu ipo wapi? Mbona mpo na opportunistic behaviour kiasi hiki?
Just because of your desparation mpo tayari ku forgo hata humanity? Isnt you who raised the expectations of this couple yet you fail to consider their feelings as human-beings?
Nyinyi kweli mm niwape kura yangu? I and those of my calibre will never cast our votes to such type of team of people.... Too selfish and self seeking!
Sorry!