Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

Status
Not open for further replies.
Wakuu,

Ninajua kuna wengine nitawakwaza kutokana na andishi hili, hasa makamanda wenzangu wa chadema kuhusu maoni yangu dhidi ya Josephine Mushumbusi.

Kama mnavyojua ni kwamba CC ya chadema ilikuwa na vikao vizito hivi karibuni kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Moja ya agenda ilikuwa kumpata mgombea urais atakayeweza kupeperusha bendera ya chadema na ukawa.

Vikao vilikaa vikafikia maamuzi ya Eddo kupewa jukumu nzito ya kuipeperusha bendera, maamuzi yaliyoafikiwa na viongozi wote wa ukawa akiwemo Dr. Slaa.

Mara ya mwisho Dr. Slaa kushiriki vikao vya chama ilikuwa Jumapili, kikao ambacho kilichukua muda hadi saa nane usiku.

Ajabu ni kwamba siku ya Jumatatu Dr hakuweza kutokea ofisini, aliweza tu kuwasiliana na viongozi wenzie kwa simu kwa ajili ya kujipanga kwenda kwenye mkutano wa kumpokea Eddo. Siku ya J4 Dr hakuweza kushiriki mkutano wa Eddo, na hata alipotafutwa kwa simu hakuweza kupatikana hewani....

Zoezi likapita la kumkaribisha Eddo, ikabaki kumtafuta Dr kujua nini kilimpata, baadhi ya viongozi waliamua kwenda kwake, walipofika getini walizuiwa kuingia, taarifa za watchman zinasema mama (Josephine Mushumbusi) amefunga geti na ameondoka na funguo....

Hivi sasa tunavyoongea Dr. Slaa yupo kwenye unlawful detention kisa Mchumba wake Josephine Mushumbusi amechukizwa kuukosa u First Lady. Huyu mwanamke asiyeweza kujiheshimu, asiye na ustaarabu ndiye anayeleta makwazo kwa Mzee wetu pamoja na sisi wapambanaji.

Simu zote za Dr Slaa zipo kwa Josephine, taarifa zinasema mwanamke amechanganyikiwa kiasi cha kumshinikiza Dr ajiuzulu na kufanya propaganda kwenye media....

Kitendo cha kumweka kizuizini mtumishi wa chama chetu kwa tamaa ya madaraka siyo haki, nadhani sasa ni muda muafaka haki ikatafutwa iwe kiparoko, kishekhe, au kibabe

Mkuu Mungi ulikuwa humfahamu huyu mama! Nakumbuka kuna wakati alileta sokomoko hapa JF nadhani mlimuweka chini mkamuweka sawa. Naamini wakati huo mliiona tabia yake na mlijua malengo yake ni nini. Mlitakiwa kumweka sawa kisaikolojia kwamba yeyote anaweza kuwa first lady. Hiyo inaitwa false imprisonment!

Mkuu kumbe CC ilishaamua kwamba Edo ndiye mgombea, period. Hakuna mchakato wa kidemokrasia japo majina hata mawili yapelekwe kwenye mkutano mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Ni bora tumemjua mapema mwanaume asiye na maamuzi yake hafai.. A man gotta show he is in control of his house so that we can be sure he can be a commander in chief... Sasa naanza kujilaumu kwa kura yangu nilyompa 2010!!

Haiwezekani katibu mkuu ambaye ndio mtendaji mkuu wa chama ukae kimya katika kipindi kama hichi halafu bado tuwe na imani na wewe, Kama ameona hawezi atoke hadharani tujue moja ili tusonge mbele.. mabadiliko ni lazima mwaka huu with or without him!!!
 
CHADEMA imepoteza imani yote kama chama makini.
Kwa lipi mkuu tufafanulie
a) Kupokelewa kwa Lowassa na kupewa heshima kuwa mgombea URAIS
b) Kutoonekana kwa DR. Slaa kwa kisa eti kafichwa na mkewe?
c) Kutoonekana kwa Mnyika, ingawa hatujaambiwa naye kafichwa na mkewe & Mchumba pia?
d) Kutoonekana wa Prof Safari, hatujui naye kafichwa ama kimetokea kipi?

Lipi ni lipi, tudadavulie why umepoteza matumaini ghafla??
 
Hivi Mkuu bado unamuamini Yeriko? Juzi aliweka mada humu akieleza eti yule aliyepigwa na Job Ndugai kafariki. Tena ikawekwa kwenye hadhi ya Breaking News. Hata haijapta nusu sasa ikadhihirika ni uongo uliopitiliza. Mie nimemuweka kwenye kundi la wadau wasioaminika.

Vip na Tumaini Makene, maana nae alitwambia Dr Slaa yupo ofisini
 
Ni bora tumemjua mapema mwanaume asiye na maamuzi yake hafai.. A man gotta show he is in control of his house so that we can be sure he can be a commander in chief... Sasa naanza kujilaumu kwa kura yangu nilyompa 2010!!

Haiwezekani katibu mkuu ambaye ndio mtendaji mkuu wa chama ukae kimya katika kipindi kama hichi halafu bado tuwe na imani na wewe, Kama ameona hawezi atoke hadharani tujue moja ili tusonge mbele.. mabadiliko ni lazima mwaka huu with or without him!!!
Ni jambo la kushangaza kabisa. Kumbe katibu mkuu wa CHADEMA ni Mama Junior! Akisema leo iwe inakuwa akisema isiwe haiwi! Huku ni kuwakosea nidhamu wanachama wa CHADEMA.
 
Kwa lipi mkuu tufafanulie
a) Kupokelewa kwa Lowassa na kupewa heshima kuwa mgombea URAIS
b) Kutoonekana kwa DR. Slaa kwa kisa eti kafichwa na mkewe?
c) Kutoonekana kwa Mnyika, ingawa hatujaambiwa naye kafichwa na mkewe & Mchumba pia?
d) Kutoonekana wa Prof Safari, hatujui naye kafichwa ama kimetokea kipi?

Lipi ni lipi, tudadavulie why umepoteza matumaini ghafla??
Mkuu mbina umejibu yote kwa maswali yako! Katibu mkuu wa Chama anatekwa nyara na mke wake? Siku akiwa Rais na nchi inataka atoe tamko anaweza akawa yuko mateka kwa mke wake. Msaidie Dr. Slaa ajikomboe kutoka mikononi mwa mtesi wake. Kama Dr. Slaa hajatendewa haki anaweza kwenda mahakamani kushitaki kwa kufanyiwa false imprisonment
 
Ni bora tumemjua mapema mwanaume asiye na maamuzi yake hafai.. A man gotta show he is in control of his house so that we can be sure he can be a commander in chief... Sasa naanza kujilaumu kwa kura yangu nilyompa 2010!!

Haiwezekani katibu mkuu ambaye ndio mtendaji mkuu wa chama ukae kimya katika kipindi kama hichi halafu bado tuwe na imani na wewe, Kama ameona hawezi atoke hadharani tujue moja ili tusonge mbele.. mabadiliko ni lazima mwaka huu with or without him!!!

Well said mkuu "mabadiliko ni lazima with or without him" . Kwanini asijitokeze kuondoa sintofahamu hata kama yuko mlengo mwingine! Hivi ilikuwa ni lazima yeye agombee mbona Mbowe alimwachia 2010 kwani Mbowe hakuwa amejenga chama! Na kama amesusa kisa EL kuja Chadema, ina maana walioko Chadema wote ni wasafi kwa hiyo kupokea mwanachama mpya lazima kuwe na chujio la utakatifu! Honestly hii mambo ya Dr imenichosha
 
Usahihi: Dr. Slaa yupo Chadema hakuna shida yoyote kuna kakikundi kadogo tena tumeshakifahamu kinazusha wongo kwa maslai ya watu flani

Chadema

Ungo ukisemwa sana madhala yake yakalibibia ukweli, haya mambo yameanza zungumza muda hivi kama "Dr. Sla yu hadema na hamna shida" kama mnavyotaka tuamini kwa nini Dr. Asijitokeze hadhalani na kutuhakikishia kuwa hali ni swali?
 
Tumia akili ya kawaida tu,kwann wafuasi wote wa lumumba wanamzushia Dr.Slaa na wanalaumu chadema kumpokea lowasa, kama chadema itasambaratika kwa ujio wa lowasa basi nyie fanyeni sherehe, mnapiga kelele za nn? Kifo cha chadema si ndio ushindi kwenu?Acheni upopoma

huyu aloanzisha huu uzi ni mfuasi papa wa CHADOMO sijui ulikuwa unakusudia nini kijana
 
Ila hizi kashfa zenu zinavunja watu mioyo.!!

Tambueni na tena eleweni, Chedema imejengwa ktk misingi ya kupinga ufisadi, ni ktk ajenda hiyo Cdm imejipatia mashabiki na Wanachama lukuki wakiandamana na chama hiki kwa ajenda yake hiyo.

NA MTU PEKEE ALIYESIMAMA IMARA BILA KUYUMBA KUPIGANA NA AJENDA HII NI DR SLAA PEKEE.!!

Ni uvunjifu wa Maadili na ukosefu wa Adabu kufikiri kwamba Dr Slaa anaweza kushinikizwa kufanya maamuzi fulani na Mkewe. Huu ni upunguani wa hali ya juu sana. Yaani mtu tena mwanachadema unakuja hadharani na kudai Mkewe Dr Slaa kamfungia ndani Mmewe kwa kigezo cha kukosa U-First Lady? Hivi ni nani alijiaminisha kwamba Cdm tungeweza kushinda uchaguzi huu na Dr kuingia Magogoni kiasi Josephine awe First lady?

Jamani ninyi ni watu wazima, wekeni akiba ya Maneno.

Ndani ya Cdm hakuna mtu mwenye hadhi ya kumfikia Dr Slaa, iwe ni ndani ya nchi au nje ya nchi. Hata kama kunaugomvi unaoendelea ndani ya chama baada ya ujio wa Lowassa, tafuteni maneno mazuri ya kuongea mbele za watu. Huu upumbavu mnaokuja nao hapa ndani haukubaliki. Mtu mwenyewe mnayeshadidia hapa HATA KADI YENYEWE HAKURUDISHA.. KAJA CHADEMA KUGOMBEA URAIS BAADA YA KUKATWA HUKO KWAO. AKISHINDWA URAIS SI AJABU AKAREJEA TENA HUKO CCM (kadi si anayo?

Leo mnakuja kadharani kumkashifu Dr, aliyepigwa mabomu kwaajili ya Cdm, Aliyelala ndani kwaajili ya Cdm, Mtu ambaye ametumia maisha yake yote kwaajili ya kuijenga Cdm na leo iko hapa ilipo kiasi cha kuwatamanisha hao wengine kuingia.. Malipo anayoyapata ni kashfa kama hizi... kweli hii ni Cdm ninayojua mimi kweli???

Kuweni makini na maneno yenu humu ndani, Yanaweza kusababisha kuondoka watu wengi kuliko mnavyodhani..!! Wengine sisi ingawaje yumehiyari kumpigia kura huyo Lowassa, lakini hatuwezi kuvumilia kashfa kama hizi kwa Dr Slaa. Huu ni ujinga.

BACK TANGANYIKA

Nimekuheshimu sana, watu wakikusoma kwa makini watatambua ubaya wa wanayoyaandika humu.

Mie sijawahi kuwa upande wa Dr Slaa kisiasa, lakini nami ni binadamu, natambua mtihani alionao sasa kati ya Legacy yake juu ya ufisadi na maslahi ya chama.Hilo la urais siamin kama ni kubwa hivyo kigumu zaidi ni hii ya kuramba matapishi leo juu ya ufisadi na uchafu wa Lowassa.

Vyovyote itakavyokuwa Dr Slaa pia ni binadamu, mwenye damu na nyama, akitukanwa na kudharirishwa anaumia, jamani kumlipa maneno ya shombo humu kwa mazuri mengi aliyofanya ni suala la aibu na ukosefu wa shukrani.Tujisahihishe.

Dr Slaa Mungu akuongoze, usiache siasa maana bado una mchango kwa taifa lako, kama hautaweza kushirikiana na Lowasa kwenye kampeni basi nashauri nenda kagombee ubunge karatu kimyakimya kwa tiketi ya Chadema,fanya kivyako kumhusisha Lowassa, baada ya uchaguzi huyo Lowassa atakapodondoka Wanachadema watatambua kosa lao, wewe utabaki kwenye historia kama kiongozi wa Chadema mwenye kusimama kwenye misingi.
 
...

Kusema kweli hata mie sijaamini maneno ya tundu lissu na mbowe wakati lowassa anachukua fomu, at least you werte supposed to show that kuna fair ground/play kwenye michakato yenu.

CHADEMA/UKAWA MMETIA AIBU NA SITASHANGAA DR. SLAA AKIAMA KWA SABABU MMEONYESHA NI WANAFIKI WA HALI YA JUU NA KIBAYA ZAIDI HAMUWAFANYII UNAFIKI WATANZANIA TU, HADI NYIE WENYEWE MNAFANYIANA UNAFIKI.

KWELI FEDHA MWANAHARAMU.

Yaani ushenzi afanye mbowe na genge lake kupiga pesa alafu lawama anapewa Josephine. Kweli naamini wafuasi wa Chadema ni misukule.

You made a very good point but spoiled towards the end by spilling a lot of unexpected trash over the substance.

Sure, Mbowe & co. were supposed to keep their cool and run the due process objectively - even if for only demonstrating the orderly nature of the Party. Instead, they behaved more like very desperate kids longing for a pat on the back from the towering EL.

The references to graft on Mbowe's side and to the "zombie" nature of CHADEMA's followers WERE UNNECESSARY.
 
afadhali bodaboda2 umemshitukia kuwa huyo mmawia ni GAMBA. tena gamba kwelikweli.
m..... yanaruka na kukanyagana! mbona tutamkumbuka j. nature kipindi hiki.

kibaka wa ccm we, tokea lini umeanza kumsifia silaa?? Wakati kutwa kuisifia ccm, Leo eti mbowe! Shame on ur hopeless face.,,, mtahangaika Sana ila mwaka huu Ni wenu

Wewe endelea kuweweseka hadi mwisho wa maisha yako
 
Chadema ni wachuuzi na walanguzi, mtu kama Dr Slaa ana maadili yake, amekulia kwenye dini amelelewa kwenye dini, ameteleza mara Chache, ni mtu wa msimamo toka zamani, na kwa hili msimsingizie mke, yoyote mwenye akili hawezi support Chadema kwa maamuzi ya kumuaccomodate Lowassa
 
Ila hizi kashfa zenu zinavunja watu mioyo.!!

Tambueni na tena eleweni, Chedema imejengwa ktk misingi ya kupinga ufisadi, ni ktk ajenda hiyo Cdm imejipatia mashabiki na Wanachama lukuki wakiandamana na chama hiki kwa ajenda yake hiyo.

NA MTU PEKEE ALIYESIMAMA IMARA BILA KUYUMBA KUPIGANA NA AJENDA HII NI DR SLAA PEKEE.!!

Ni uvunjifu wa Maadili na ukosefu wa Adabu kufikiri kwamba Dr Slaa anaweza kushinikizwa kufanya maamuzi fulani na Mkewe. Huu ni upunguani wa hali ya juu sana. Yaani mtu tena mwanachadema unakuja hadharani na kudai Mkewe Dr Slaa kamfungia ndani Mmewe kwa kigezo cha kukosa U-First Lady? Hivi ni nani alijiaminisha kwamba Cdm tungeweza kushinda uchaguzi huu na Dr kuingia Magogoni kiasi Josephine awe First lady?

Jamani ninyi ni watu wazima, wekeni akiba ya Maneno.

Ndani ya Cdm hakuna mtu mwenye hadhi ya kumfikia Dr Slaa, iwe ni ndani ya nchi au nje ya nchi. Hata kama kunaugomvi unaoendelea ndani ya chama baada ya ujio wa Lowassa, tafuteni maneno mazuri ya kuongea mbele za watu. Huu upumbavu mnaokuja nao hapa ndani haukubaliki. Mtu mwenyewe mnayeshadidia hapa HATA KADI YENYEWE HAKURUDISHA.. KAJA CHADEMA KUGOMBEA URAIS BAADA YA KUKATWA HUKO KWAO. AKISHINDWA URAIS SI AJABU AKAREJEA TENA HUKO CCM (kadi si anayo?

Leo mnakuja kadharani kumkashifu Dr, aliyepigwa mabomu kwaajili ya Cdm, Aliyelala ndani kwaajili ya Cdm, Mtu ambaye ametumia maisha yake yote kwaajili ya kuijenga Cdm na leo iko hapa ilipo kiasi cha kuwatamanisha hao wengine kuingia.. Malipo anayoyapata ni kashfa kama hizi... kweli hii ni Cdm ninayojua mimi kweli???

Kuweni makini na maneno yenu humu ndani, Yanaweza kusababisha kuondoka watu wengi kuliko mnavyodhani..!! Wengine sisi ingawaje yumehiyari kumpigia kura huyo Lowassa, lakini hatuwezi kuvumilia kashfa kama hizi kwa Dr Slaa. Huu ni ujinga.

BACK TANGANYIKA

misingi ya kupinga ufisadi unaijua wewe bojole ... kazi kubwabwaja. kimbia
 
Makamanda tujipqnge tukamuokoe Dr wetu mpinga mafisadi na mzalendo ...nasikia Jose kafungia viatu vyake na sarawili zote amezuiwa kutoka....!

Teh Teh...
 
Kwanza kitu walichokifanya leo viongozi wa Chadema kumpokea Lowassa viongozi wote wakubwa na kumpa fomu huku tundu lissu akisema kabisa ukiunda serikali yako(yaani anamwambia lowassa) inamaanisha kuwa uongozi wa Chadema umeshampa nafasi lowassa ya kuwa mgombea wa uraisi kwa iyo zoezi la kuchukua fomu limetangazwa kama geresha tu.
CCM wagombea wote walienda kuchukua fomu na wakifika ofisini wanamkuta mohamed seif khatibu tu anawapa fomu wao ndo wanaenda kujielezea huko. Hamna hata mgombea aliyesindikizwa na mwenyekiti au aliyeanza kama kutangazwa kuwa ndo mshindi.

Hizi ndo mistakes ambazo Chadema mnazifanya na kwa watu wenye akili wanajua kumbe nyie mmeshanunuliwa tayari na vitu vyote mnafanya kama maigizo tu.

Kusema kweli hata mie sijaamini maneno ya tundu lissu na mbowe wakati lowassa anachukua fomu, at least you werte supposed to show that kuna fair ground/play kwenye michakato yenu.

CHADEMA/UKAWA MMETIA AIBU NA SITASHANGAA DR. SLAA AKIAMA KWA SABABU MMEONYESHA NI WANAFIKI WA HALI YA JUU NA KIBAYA ZAIDI HAMUWAFANYII UNAFIKI WATANZANIA TU, HADI NYIE WENYEWE MNAFANYIANA UNAFIKI.

KWELI FEDHA MWANAHARAMU.

Yaani ushenzi afanye mbowe na genge lake kupiga pesa alafu lawama anapewa Josephine. Kweli naamini wafuasi wa Chadema ni misukule.

Kama una ushahidi peleka mahakamani au utoe hadharani kuwa Mbowe ana genge na amepiga pesa, mikitu mingine sijui ikoje:what:
 
Wakuu,

Ninajua kuna wengine nitawakwaza kutokana na andishi hili, hasa makamanda wenzangu wa chadema kuhusu maoni yangu dhidi ya Josephine Mushumbusi.

Kama mnavyojua ni kwamba CC ya chadema ilikuwa na vikao vizito hivi karibuni kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Moja ya agenda ilikuwa kumpata mgombea urais atakayeweza kupeperusha bendera ya chadema na ukawa.

Vikao vilikaa vikafikia maamuzi ya Eddo kupewa jukumu nzito ya kuipeperusha bendera, maamuzi yaliyoafikiwa na viongozi wote wa ukawa akiwemo Dr. Slaa.

Mara ya mwisho Dr. Slaa kushiriki vikao vya chama ilikuwa Jumapili, kikao ambacho kilichukua muda hadi saa nane usiku.

Ajabu ni kwamba siku ya Jumatatu Dr hakuweza kutokea ofisini, aliweza tu kuwasiliana na viongozi wenzie kwa simu kwa ajili ya kujipanga kwenda kwenye mkutano wa kumpokea Eddo. Siku ya J4 Dr hakuweza kushiriki mkutano wa Eddo, na hata alipotafutwa kwa simu hakuweza kupatikana hewani....

Zoezi likapita la kumkaribisha Eddo, ikabaki kumtafuta Dr kujua nini kilimpata, baadhi ya viongozi waliamua kwenda kwake, walipofika getini walizuiwa kuingia, taarifa za watchman zinasema mama (Josephine Mushumbusi) amefunga geti na ameondoka na funguo....

Hivi sasa tunavyoongea Dr. Slaa yupo kwenye unlawful detention kisa Mchumba wake Josephine Mushumbusi amechukizwa kuukosa u First Lady. Huyu mwanamke asiyeweza kujiheshimu, asiye na ustaarabu ndiye anayeleta makwazo kwa Mzee wetu pamoja na sisi wapambanaji.

Simu zote za Dr Slaa zipo kwa Josephine, taarifa zinasema mwanamke amechanganyikiwa kiasi cha kumshinikiza Dr ajiuzulu na kufanya propaganda kwenye media....

Kitendo cha kumweka kizuizini mtumishi wa chama chetu kwa tamaa ya madaraka siyo haki, nadhani sasa ni muda muafaka haki ikatafutwa iwe kiparoko, kishekhe, au kibabe

Hili liwe fundisho kwa wanaume wanaokurupukia wanawake pasipokujua tabia zao. Huyo Mushumbushi siyo size ya Slaa sema tu wanaume ni rahisi sana kuhadaika. Hivi mtu kama huyu anaweza kuwa Ikulu material? Jibu ni la! Bora ujio wa Lowasa umetengua jambo hili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom