Joseph Mbilinyi (Sugu) ameachiwa na hizi ndio sababu...

hivi hawa polisi nani anawatuma kuwakamata wabunge, hivi hawajui kuwa hata makinda anafahamu kuwa hilo nijembe(TUNDU LISU) nijembe, na hv hawa polisi watumwa na ccm?
 
CHADEMA moto china babaangu! Yaani kila kona ni JIWE tu! Thubutu yake, Pinda akanyage mahakamani kupambana na Mh. Lisu? Thubutuuuu! Na hivyo Marando kasema anyang'anywe ile digrii ya sheria kwa kuvunja sheria za nchi huku akiwa ameapa Kulinda Katiba ya nchi.

Hivi kweli Pinda ana digirii ya sheria? Labda aliandikiwa na mtu aisee, ya wapi hiyo digirii, India nini enzi hizo zikiuzwa waziwazi?? Hahaaa nina mashaka sana na hiyo digirii ni BLL au daraja gani? Loh! Maprofesa waliompitisha kuipata wangeweza wangefuta signature za pale! I am sure they would have taken action. Nafikiri inatkiwa ipitishwe sheria msomi anayefuzu halafu aka-practice unprofessionally awe ananyanganywa cheti/degree. Bullshit!
 
ha ha ha hv huyu ambaye huwa anatoa maagizo ya wabunge wa chadema na makada kukamatwa ni nani hyu tena mwenyewe uwelew mdogo sana hv ccm wana matatizo gani?

ni Lukuvi ndo anatoa maagizo haya mara kwa mara.
haya sasa amewachoresha polisi vilaza.
 
Watu wa serikali wana kazi sana ya kupangua mashambulizi maana kwanza walikuja na spin kuwa Sugu kaomba radhi-kumbe uongo! Baada ya Sugu kukanusha, wakaamua kumtafutia bangili, aka pingu!
 
Lakini ikumbukwe nidhamu ya jeshi ni amri kwanza hivyo hawa police wanaoamrishwa hawana hatia ila kuna wakubwa wasiozidi 30 ndio wanasababisha tuwachukie hata wasio na hatia

itafika hatua kwa mwezi mmoja wanaacha kazi polisi wadogo 100 kwa hiari yao baada ya kuchoka kutumwa kwenda kuua mama zao na jamaa zao kwa risasi za moto kwenye mikusanyiko halali.
 
Hayo ndo matatizo ya Baraza la Mtihani ku-reseat mtihani badala ya wanafunzi wenyewe; unatarajia nini endapo matokeo ya awali mwanafunzi aliye maliza form four alipata division zero, mara baada ya NECTA kuya-chakachua matokeo hayo kwa maagizo ya serikali ya muishiwa dhaifu, mwanafunzi huyo huyo akapata division four ya point 28, na kuajiriwa poliCCM. Tafakari...... Chukua hatua..!!!
 
Division 4 inafanya kazi yake bandugu. Itafika wakati wanaokwenda polisi wawe na uelewa na reasoning mind.!!!
 
Hilo swali nimelipenda.....MLALAMIKAJI ni nani.....? wakienda mahakamani -hapo kwenye ushaihidi sasa ndo kuna ishu....
 
Mkuu lile tusi la Serukamba utafiti unaonyesha halija wahi kutolewa na mbunge yoyote kabla ndani ya mabunge yanayo fuata mila na utamaduni wa jumuiyaa ya madola.

Hajawahi kuonywa, kukemewa wala kuwajibishwa na kanuni za bunge, lakini imekuwa rahisi Polisi kutumika kuvunja kanuni kwa Sugu.

Hawa jamaa wako kwenye state of panic mbaya kuliko wakati wowote ule! Kesho huenda Lissu naye akakamatwa kwa kupiga chafya mara nyingi kwenye viunga vya bunge kutokana na mafua yanayo msumbua. Watasema anatumiwa na maadui wa nje kuleta ugonjwa wa mafua.

huyo Lissu ana kesi nyingi tu,mojawapo ni kumsababishia spika wa bunge "headache"!chezea rijeshi ra rumumba wewe!
 
kuna ushahidi wowote eti Mtoto wa peasant alisoma tena akasoma sharia wajameni?,isije kuwa kanywa tu maji ya bendera na cv ikapikwa,ama alisoma mno zamani sasa kashajisahau huyu?
 
wanazidi kudhiirisha upumbavu wao! Mtu mwenye cheo kikubwa kama kile kutamka uharo namna ile ni aibu na sokwe bila kutafarakali nalo limegongea msumali kauli ya pinda.
 
namshauri sugu ajiheshimu kama mbunge. anatumia lugha za kihuni sana. huwa hachangii mada za maendeleo kwenye ukurasa wake wa fcbk ila matusi. wiki iliyopita alimtukana mwana FA kwenye fcbk hadi sikuamini. asipoangalia mbeya watampiga chini 2015! ni ushauri tu

Na wewe una hoja za kipumbavu!
 
Back
Top Bottom