clifford ngoma
Member
- Mar 21, 2013
- 7
- 0
hivi hawa polisi nani anawatuma kuwakamata wabunge, hivi hawajui kuwa hata makinda anafahamu kuwa hilo nijembe(TUNDU LISU) nijembe, na hv hawa polisi watumwa na ccm?
CHADEMA moto china babaangu! Yaani kila kona ni JIWE tu! Thubutu yake, Pinda akanyage mahakamani kupambana na Mh. Lisu? Thubutuuuu! Na hivyo Marando kasema anyang'anywe ile digrii ya sheria kwa kuvunja sheria za nchi huku akiwa ameapa Kulinda Katiba ya nchi.
ha ha ha hv huyu ambaye huwa anatoa maagizo ya wabunge wa chadema na makada kukamatwa ni nani hyu tena mwenyewe uwelew mdogo sana hv ccm wana matatizo gani?
Pumbavuuuuuuuuuuuuuu! Sio tusi.kama sugu na wanaomsupport wanaona pumbavu sio tusi basi mnaonaje ndio iwe slogan ya chama chenu??
Lakini ikumbukwe nidhamu ya jeshi ni amri kwanza hivyo hawa police wanaoamrishwa hawana hatia ila kuna wakubwa wasiozidi 30 ndio wanasababisha tuwachukie hata wasio na hatia
"Pumbavu" sijatukana.Aliendelea kuwaita hivyo kwa kuwa mlikuwa mnafurahia na kuchekelea.
Ebu jaribu kumwambia mzazi wako au asubuhi ukiingia ofisini mpe hiyo salamu boss wako."Pumbavu" sijatukana.
Mkuu lile tusi la Serukamba utafiti unaonyesha halija wahi kutolewa na mbunge yoyote kabla ndani ya mabunge yanayo fuata mila na utamaduni wa jumuiyaa ya madola.
Hajawahi kuonywa, kukemewa wala kuwajibishwa na kanuni za bunge, lakini imekuwa rahisi Polisi kutumika kuvunja kanuni kwa Sugu.
Hawa jamaa wako kwenye state of panic mbaya kuliko wakati wowote ule! Kesho huenda Lissu naye akakamatwa kwa kupiga chafya mara nyingi kwenye viunga vya bunge kutokana na mafua yanayo msumbua. Watasema anatumiwa na maadui wa nje kuleta ugonjwa wa mafua.
hahahahahahha!
yaani polisi na huyo aliyewatuma wote kwa pamoja ni WAPUMBAVU kweli kweli
Kama sugu na wanaomsupport wanaona pumbavu sio tusi basi mnaonaje ndio iwe slogan ya chama chenu??
namshauri sugu ajiheshimu kama mbunge. anatumia lugha za kihuni sana. huwa hachangii mada za maendeleo kwenye ukurasa wake wa fcbk ila matusi. wiki iliyopita alimtukana mwana FA kwenye fcbk hadi sikuamini. asipoangalia mbeya watampiga chini 2015! ni ushauri tu