Joram Kiango Vs Willy Gamba: Watu wa kufikirika waliotamba kama watu halisi

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
670
Kwa walio hata wasio wapenzi wa usomaji wa vitabu wanauwezekano mkubwa wa kuwa wamewasikia watu hawa

Kiuhalisia hawa ni watu wa kufikirika, ni wahusika katika riwaya mbali mbali.

Joram Kiango alikuwa ni muhusika katika vitabu vingi vya Ben Mtobwa, huku Willy Gamba akiwa ni muhusika katika vitabu vya Elvis Musiba

Joram Kiango na Willy Gamba wanafanana vitu vingi, kama wote walikuwa majasusi, tofauti ni kuwa Joram Kiango alikuwa ni jasusi wa kujitegemea huku Willy Gamba akiwa ni jasusi wa serikali.

Wamekuwa ni wahusika vinara kwenye riwaya Zaidi ya moja. Hawa ni tofauti na ngoswe, muhusika wa tamthiliya ya E. semzaba ambaye alitamba kwenye kitabu kimoja tu. Joram kiango yupo kwenye vitabu kama Lazima ufe, tutarudi na roho zetu, mikononi mwa nunda, nk, Wiily Gamba ametokea katika vitabu kama Hofu, Kikosi cha kisasi, njama nk

Tabia ya waandishi kuwapa umaarufu wahusika ipo hata kwenye baadhi ya riwaya za waandishi wan je, kama Prof. Longdon kwenye riwaya za Dan Brown
 
Operations za Joram Kiango nyingi zilikua ndani ya Tanzania wakati Willy Gamba ilikua ni ndani na nje ya mipaka ya Tanzania

Wakati riwaya hizi zinatungwa kwa Tanzania ilikua ni vigumu sana kua na wapelelezi wa kujitegemea hivyo kufanya simulizi za Joram Kiango kua hadithi zaidi japo waandishi wote walifanikiwa kuingia kwenye mioyo ya wasomaji wao
 
Kwa walio hata wasio wapenzi wa usomaji wa vitabu wanauwezekano mkubwa wa kuwa wamewasikia watu hawa

Kiuhalisia hawa ni watu wa kufikirika, ni wahusika katika riwaya mbali mbali.

Joram Kiango alikuwa ni muhusika katika vitabu vingi vya Ben Mtobwa, huku Willy Gamba akiwa ni muhusika katika vitabu vya Elvis Musiba

Joram Kiango na Willy Gamba wanafanana vitu vingi, kama wote walikuwa majasusi, tofauti ni kuwa Joram Kiango alikuwa ni jasusi wa kujitegemea huku Willy Gamba akiwa ni jasusi wa serikali.

Wamekuwa ni wahusika vinara kwenye riwaya Zaidi ya moja. Hawa ni tofauti na ngoswe, muhusika wa tamthiliya ya E. semzaba ambaye alitamba kwenye kitabu kimoja tu. Joram kiango yupo kwenye vitabu kama Lazima ufe, tutarudi na roho zetu, mikononi mwa nunda, nk, Wiily Gamba ametokea katika vitabu kama Hofu, Kikosi cha kisasi, njama nk

Tabia ya waandishi kuwapa umaarufu wahusika ipo hata kwenye baadhi ya riwaya za waandishi wan je, kama Prof. Longdon kwenye riwaya za Dan Brown
Unamkumbuka Bob Mazishi wa kile kitabu cha Kipigo cha Dunia?.......amefanana sana na Mbowe!
 
daah WILLY GAMBA ---HOFU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna brother wangu mkubwa ameishia darasa la 7 tu lakini alikuwa msomaji sana wa hivyo vitabu, na hata leo ni mnunuzi mzuri wa vitabu na magazeti.

Lakini leo kijana anayemaliza kidato cha 4 au 6 unakuta hana culture ya kusoma vitabu. Si ajabu hata uandishi wao walau wa barua ya Kiswahili na uwezo wa kufikiri uko chini sana.

Kizazi cha enzi zile na kizazi cha enzi hizi za .com ni kama mbingu na nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom