Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

Wale hawana jazba kama zako, ni watu wanajua nini wanafanya, ni viongozi wa kiroho, si tegemei kama watasema walipize kisasi, kwani :SAMAKI AKIOZA MMOJA, WOTE HUOZA!!
 
quote_icon.png
By Mdondoaji

Tunawatakia kila la kheri na matamko yao ila wafahamu hii nchi ni ya Waislamu na Wakristo. Busara na hekima itumike na sio vitisho na mikwala. Kwani vijana wa kiislamu na waislamu wengi wamewachoka sio siri. Ni vema wakatafakari vizuri kitu wanachokizungumza isije kuishia tukashindwa kuishi kwa amani nchini mwetu hali ni mbaya.
Walewale wenye leseni ya kusema wenyewe tu. Vitisho na mikwala ni mambo yenu waislam, wengine sisi wala hatuyajui...kwetu sisi ni subira na busara tu!
 
tunawatakia kila la kheri na matamko yao ila wafahamu hii nchi ni ya waislamu na wakristo. Busara na hekima itumike na sio vitisho na mikwala. Kwani vijana wa kiislamu na waislamu wengi wamewachoka sio siri. Ni vema wakatafakari vizuri kitu wanachokizungumza isije kuishia tukashindwa kuishi kwa amani nchini mwetu hali ni mbaya.
mkuu chonde bana usitutenge kuna pia wapagani ,banyiani etc
 
Tunawatakia kila la kheri na matamko yao ila wafahamu hii nchi ni ya Waislamu na Wakristo. Busara na hekima itumike na sio vitisho na mikwala. Kwani vijana wa kiislamu na waislamu wengi wamewachoka sio siri. Ni vema wakatafakari vizuri kitu wanachokizungumza isije kuishia tukashindwa kuishi kwa amani nchini mwetu hali ni mbaya.

Jamani hivi huyu mwandishi ana akili timamu kweli? Kwamba makanisa yaliyochomwa na vifaa na uharibifu woote uliofanyika ni hasara ya wakristo. Kwamba wanaokutana kutoa tamko ni wakristo. iweje huyu mwandishi aseme vijana wakiislamu wamewachoka? Hii nchi ni ya waislamu pekee au ya waislamu na wakristo? Au na mwandishi alikuwa miongoni mwa waliochoma na kuiba? Hivi kuna-justification yoyote unayoweza kutoa juu ya uchomaji na wivi uliofanywa na hao vijana wakiislamu unaisema wamewachoka? Kuna tofauti gani ya wezi waliofungwa magerezani na wezi walioiba mali na kufanya uhalifu wa kuchoma makanisa ?
 
Maaskofu wana akili timamu wewe, kauli za dizaini hiyo zinatoka kwa wanaume wavaa vipedo wakiongzwa na yule mrundi Issa Ponda.[/QUOTE


Epukeni kauli Kama hizi Imani usivunje undugu sisi sote ni ndugu kauli zenu zitawahukumu Siku moja. Mungu ibariki tz


By Free World 'Tunataka kusimika msalaba IKULU! Waislamu wote wakamatwe wafungwe' hii ni sehemu ya tamko lao!
 
Wakristo cku zote busara hutawala sana sio kama hawa wenzetu akisema Ponda wote wanatekeleza kama ambavyo anawaamuru
 
Wakristu siku zote si watoa hukumu kwani hawashughuliki na mwili ambao utabaki duniani ila wanashughulika na roho ambayo itapata hukumu siku ya kiama

NORTHERN IRELAND?????????????

Tukubaliane tu kimsingi kuwa tafrani zinazosababishwa na tofauti za kidini ni laana ambayo wote kwa pamoja tunatakiwa kuizuia kwa nguvu zetu zote kama tunawatakia watoto wetu, wajukuu wetu na vilembwe vyetu maisha ya amani na furaha.
 
Back
Top Bottom