Jokate ajibu mapigo - Nina wangu

hahahaaaa wasinii wa bongo bana, sijawahi kuona kitu cha maana wanachofanya, wao full umalaya tuuu, hivi wanadahni ukahaba ndio usanii? Jokate na Wema wote ni wale wale, CV zao ni chafu sana, in short hawa ni cheap women ever in Tz.
 
Broda hata wewe unaweza kukamata hii kitu ukija na mkwanja wako wa kubeba maboxi huko Slovenia. We mletee iPad2 unakula mzigo, tena hawa watoto wanashobokea sana mnaokaa mamtoni bila kujali kama mnafagia barabara au mnabeba mabox.... Kama na sisi tunavyoshobokea wale wanaoogesha vibibi. NN ukija safisha nyota kwa kula watoto wa dizaini hiii
Ha haa kumbe yupo Slovenia lilidhani yupo Macedonia
 
Back
Top Bottom