Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,814
Mmh kumbeKama unayosema ni Kweli basi ujue huyo Joyce Kiria anapoza msongo mkubwa sana wa mawazo anaopitia.
Ndoa yake inasemekana kwa sasa ni pasua kichwa(Kwa sasa anajiita Single Mother). Na hakuna tena mwanaume wa maana anamtaka, maana ameshakuwa bibi.
Deals zake nyingi za biashara zimebuma vibaya.