Joice Kiria ni kioo cha wanawake au?

I AM WHO I AM

Member
Oct 18, 2012
49
35
Jana ameonekana maeneo ya Moshi Kili Home akipata mizinga kadhaa huku anapiga kelele.

Alikua ananipendeza akiwatia moyo wanawake wenzie.

Kwa unywaji na kelele zile amenidisapoint kabisa. Ni haki yake kustarehe lakini atapotosha wengi
 
jaman hebu mwacheni huwez jua anapitia magumu yapi kila mtu anahandle stress kwa njia tofaut
 
Kama unayosema ni Kweli basi ujue huyo Joyce Kiria anapoza msongo mkubwa sana wa mawazo anaopitia.
Ndoa yake inasemekana kwa sasa ni pasua kichwa(Kwa sasa anajiita Single Mother). Na hakuna tena mwanaume wa maana anamtaka, maana ameshakuwa bibi.

Deals zake nyingi za biashara zimebuma vibaya.
 
Yule mwanamke ni Malaya by nature kitambo sana ......"ni kawaida kwa mlevi kupata ajari"
 
Kama unayosema ni Kweli basi ujue huyo Joyce Kiria anapoza msongo mkubwa sana wa mawazo anaopitia.
Ndoa yake inasemekana kwa sasa ni pasua kichwa(Kwa sasa anajiita Single Mother). Na hakuna tena mwanaume wa maana anamtaka, maana ameshakuwa bibi.

Deals zake nyingi za biashara zimebuma vibaya.
Kwa taarifa yako yeye ndio ana matatizo makubwa sana...
Anajiona kisiki,mropokaji na anakuza mambo.
Anajiita single mom wakati bado anaishi na mumewe.
 
Wana ugonvi mkubwa na mumewe Kilewo. Wanaishi kama Kaka na dada kwa muda mrefu sasa. Joyce anataka kuchanganyikiw kwa ajili ya ndoa yake. Haya maisha haya
 
Hakika Mwanamke ukishakua mjuaji sana basi hutakuwa na ndoa hata siku moja.

Huyu bibi ndoa yake na Kileo sidhani kama ipo salama , maana sio kwa ujuaji ule.

Anavunja zaidi ndoa za watu kuliko kuimalisha.

Angalieni watu wote wanaojiita wanaharakati wa Wanawake ndoa zao zikoje? utakuta hana mume au ndoa yake ilivunjika.
 
Dunia ina mambo sana.Anayejifanya mkufunzi kwa wenzake kumbe nae anamatatizo kuzidi hao anawafundisha.
 
Mpe pombe maskini anywe asahau shida zake..! Talaka hana lolote kazi kuwatumikisha wanawake wenzie..
 
Hivi binadamu mwenzako anakuwaje kioo chako....na jinsi binadamu tulivyo na makandokando
Ukishakuwa mtu maarufu unakuwa ni taswira ya jamii yaani jamii inakuangalia wewe unafanyaje!

Zamani vijana wetu walikuwa hawavai hereni lakini wakaja kumuona msanii fulani anavaa basi na wawo wakaanza kuvaa wakisema kumbe mwanaume kuvaa hereni ni Sawa tu mbona msanii yule anavaa na anaheshimika...?

Hivyo jamii inakungalia wewe kimatendo unafanyaje kisha wanaiga yale unayofanya hata kama ni ya kipuuzi.

Joyce Kileo ni Kioo cha jamii, jamii ya wanawake inamwangalia na kumsikiliza yeye kila anachosema hata kama hayuko sahihi na ni kweli kwa mengi hayuko sahihi anapotosha jamii inayomtazama.
 
Kama unayosema ni Kweli basi ujue huyo Joyce Kiria anapoza msongo mkubwa sana wa mawazo anaopitia.
Ndoa yake inasemekana kwa sasa ni pasua kichwa(Kwa sasa anajiita Single Mother). Na hakuna tena mwanaume wa maana anamtaka, maana ameshakuwa bibi.

Deals zake nyingi za biashara zimebuma vibaya.
Du mbona ukimuona Instagram anavyompost mmewe na Watoto full kucheka kumbe acting ile?
Kilichoniumiza ni hizo tetesi za ndoa, ameganga wanawake wengi lakini sasa yeye anafeli.

Kwa taarifa yako yeye ndio ana matatizo makubwa sana...
Anajiona kisiki,mropokaji na anakuza mambo.
Anajiita single mom wakati bado anaishi na mumewe.

Wana ugonvi mkubwa na mumewe Kilewo. Wanaishi kama Kaka na dada kwa muda mrefu sasa. Joyce anataka kuchanganyikiw kwa ajili ya ndoa yake. Haya maisha haya

Hakika Mwanamke ukishakua mjuaji sana basi hutakuwa na ndoa hata siku moja.

Huyu bibi ndoa yake na Kileo sidhani kama ipo salama , maana sio kwa ujuaji ule.

Anavunja zaidi ndoa za watu kuliko kuimalisha.

Angalieni watu wote wanaojiita wanaharakati wa Wanawake ndoa zao zikoje? utakuta hana mume au ndoa yake ilivunjika.

Dunia ina mambo sana.Anayejifanya mkufunzi kwa wenzake kumbe nae anamatatizo kuzidi hao anawafundisha.
 
Hakika Mwanamke ukishakua mjuaji sana basi hutakuwa na ndoa hata siku moja.

Huyu bibi ndoa yake na Kileo sidhani kama ipo salama , maana sio kwa ujuaji ule.

Anavunja zaidi ndoa za watu kuliko kuimalisha.

Angalieni watu wote wanaojiita wanaharakati wa Wanawake ndoa zao zikoje? utakuta hana mume au ndoa yake ilivunjika.
Upo sahihi mkuu. ..usilogwe ukaoa mwanamke anayejifanya yeye ni mwanaharakati utajuta kuzaliwa ktk hii sayari. ..!!
 
Back
Top Bottom