John Mrema hufai kuwa CHADEMA

mkuu umekosea sana, umeleta mambo ya ofisin hum forum! Tusiwe marimbukeni wa siasa!
 
nani asiyejua ni Zitto?
watu wanatumia taaluma zao na ushawishi kujenga makundi na kujiimarisha zaidi.sijamtukana,Ben kama nimekukosea nisamehe lakini ushawishi na taaluma yako usiitumie.inaonekana wewe ni kundi la akina zitto,kitila na akina ndesamburo.wewe ni kijana mdogo acha kiu ya kulipa visasai hata kama unaona umeonewa.
Hebu naomba niachwe.Sichaguliwi rafiki,kuna maisha nje ya siasa.Siasa ni kwa ajili ya watu.Siasa haiwezi kujenga ukuta baina ya watu,siasa ni daraja la kuunganisha watu kimtazamo na kifikra.Hayo mengine sio mahala pake.Jf itasaidia nini katika hili?hebu angalia kile nilichokuwa namuonya Gwota kuhusu kutokufuata taratibu wewe unafanya vilevile.Kuhusu kukosea,it's ok!nimekusamehe kwa dhati kabisa

Hebu tuchangie mjadala ulioko mezani,au tujadili mada nyingine huko kuna threads za majimbo,CCM kuibiwa 2500,000 uk nk.wale wanauchumi twendeni kwenye jukwa la Biashara na Uchumi.mjadala mwema,weekend njema.Have a principled fun,Peace out!
 
nani asiyejua ni Zitto?
watu wanatumia taaluma zao na ushawishi kujenga makundi na kujiimarisha zaidi.sijamtukana,Ben kama nimekukosea nisamehe lakini ushawishi na taaluma yako usiitumie.inaonekana wewe ni kundi la akina zitto,kitila na akina ndesamburo.wewe ni kijana mdogo acha kiu ya kulipa visasai hata kama unaona umeonewa.

Wewe unasema uko Bungeni (na tuhumu kuwa ni kwa Viti Maalum), unajificha nyuma ya jina bandia hapa JF kutukana na kuhujumu chama kilichokuweka hapo ulipo.

Ukiulizwa ushahidi wa pesa za madini za Zitto utatuambia nini?
 
Naamini hapa wapo viongozi wa chadema wamesikia ujumbe utamfikia maramoja na atakuwa mwepesi katika wito kwani hapo alipo ninyimliomuweka!
 
Naamini hapa wapo viongozi wa chadema wamesikia ujumbe utamfikia maramoja na atakuwa mwepesi katika wito kwani hapo alipo ninyimliomuweka!
 
Imekuwa ni kawaida kwa wabunge na viongozi wengine wa chadema kuwa karibu sana na wananchi na kuwatetea mahala husika, Hali hii ni tofauti kabisha kwa huyu mkurugenzi wa halmashauri ya bunge John Mrema, Kwa zaidi ya mara tatu nimekuwa nikimpigia simu na kumuandikia sms ashiriki katika ufunguzi wa tawi la chadema mahala ninapoishi ila kila anavyopokea simu na kusikiliza ninachomwambia juu ya mm kumtaka awe miongoni mwa watakaokuja kuzindua anasema yupo busy nimpigie badae na sms hajibu, Nashangaa anavyojifanya busy kumshinda hata Mbowe au slaa ambao ukiwapigia simu ukawaelezea shida yako ya kukiendeleza chama wanakusikiliza na kukusaidia na km kwa muda huo wapo busy wanakipigia badae,

Ombi langu kwa uongozi wa juu wa chama:
  • Watu kama hawa muwachukulie hatua mathubuti kwani wanazuia maendeleo ya chama kwa makusudi na wanatukera sana sisi wanachama tuliopo ngazi za chini tunaojaribu kufanya utekelezaji wa kukiimarisha chama kutoka ngazi ya msingi na tawi sehemu sehemu zilizo muhimu zaidi.

Kwani hilo tawi mkiamua kulifungua bila yeye halifunguki? au hajawaachia funguo? kama hataki kuwapeni hizo funguo si mumtume mtu azifuate kuliko kero kama hiyo?.
 
iko ni lazima tawi hilo lifunguliwe na John Mrema? I guess mleta thread ana jambo jingine, na si kulalamikia kukosekana kwa Mrema katika ufunguzi wa tawi hilo.
 
Peleka barua ofisini sio kupiga simu,fuata taratibu zilizopo we unakaa hapo kwako unapiga simu kuwababaisha viongozi wa juu wa chama,ni kweli yuko bize,tatizo unapenda shotcut.Malalamiko yako si ya msingi mbona hapa kwetu tumezindua tawi wiki mbili zilizopita na Dr slaa ndiye alikuwa mgeni rasmi.Hatukupiga simu kama wewe bali tulienda ofisini tukaweka appointment,baada ya appointment tulipiga simu kuelezana tulipaofikia na simu zilipokelewa vizuri tu.Acha kumchafua John Mrema ni chapakazi, tafuta sababu za msingi jenga hoja.
 
Wewe unasema uko Bungeni (na tuhumu kuwa ni kwa Viti Maalum), unajificha nyuma ya jina bandia hapa JF kutukana na kuhujumu chama kilichokuweka hapo ulipo.

Ukiulizwa ushahidi wa pesa za madini za Zitto utatuambia nini?
By theway sijapenda kabisa sound aliyoileta huyu miss perliment hapa jamvini! yaani kama ni kweli huyu ni mbunge wa CDM basi tumeliwa na CDM wanakazi kubwa sana! maana sioni sababu ya huyu mheshimiwa kutoka nje ya mada na kuja kutuelezea mambo ya wakina Benn na Zitto.wapi na wapi? mara pesa za madini,mara urais nccr,mara posho, mara mabifu....all thiz what for? Hata kama kila mtu ana uhuru wa kusema but thiz is toomuch.....maana hapa ni sawa na wanandoa wanagombana in the room kisha mmoja anakuja kuwaeleza watu wa nje kila kitu hadi siri za mvunguni! kisa wamegombana. Hata hivyo Benn amemjibu kiustaarabu sana
 
nani asiyejua ni Zitto?
watu wanatumia taaluma zao na ushawishi kujenga makundi na kujiimarisha zaidi.sijamtukana,Ben kama nimekukosea nisamehe lakini ushawishi na taaluma yako usiitumie.inaonekana wewe ni kundi la akina zitto,kitila na akina ndesamburo.wewe ni kijana mdogo acha kiu ya kulipa visasai hata kama unaona umeonewa.
Hapo kwenye red mama.....sawa umemtaja Zitto,na kama sikosei Zitto na Benn wapo humu jamvini kwa ID za ukweli halisia tokea kitambo sana.
Je wewe mwenzetu ni nani? kama kweli wewe ni......kwanini usitumie full ID ya ukweli? Acha hizo muheshimiwa
 
Mleta mada kama anataka kuwa mkweli na aseme alipiga simu lini na hilo tawi lilipaswa kufunguliwa wapi, kwani kuandika tuu hivyo kil mmoja anaweza kuandika na kumsingizia mwenzake.

Na huu ni mkakati ndio maana amaejitokeza mtu wa jimbo la Vunjo Benn na kuamua kuokomalia hii mada , wenye akili zao tumeng'amua nini kinaendelea .

Ninachojua ni kuwa John Mrema yupo bungeni kabla hata ya bunge kuanza kwa ajili ya kushirikiana na wabunge kuandaa hotuba na hoja mbalimbali na haswa kipindi hiki cha bunge na ndio maana hata timu ya kwenda Arusha kushugulikia ule mgogoro wa madiwani pamoja na ukweli kuwa yeye ni mkurugenzi wa madiwani hayupo kwani ana majukumu mengine Dodoma.

Ninachojua ni kuwa mleta mada alikuwa anatafuta kitu fulani ila kapuuzwa .
 
Bado mtayaona mengi y
Imekuwa ni kawaida kwa wabunge na viongozi wengine wa chadema kuwa karibu sana na wananchi na kuwatetea mahala husika, Hali hii ni tofauti kabisha kwa huyu mkurugenzi wa halmashauri ya bunge John Mrema, Kwa zaidi ya mara tatu nimekuwa nikimpigia simu na kumuandikia sms ashiriki katika ufunguzi wa tawi la chadema mahala ninapoishi ila kila anavyopokea simu na kusikiliza ninachomwambia juu ya mm kumtaka awe miongoni mwa watakaokuja kuzindua anasema yupo busy nimpigie badae na sms hajibu, Nashangaa anavyojifanya busy kumshinda hata Mbowe au slaa ambao ukiwapigia simu ukawaelezea shida yako ya kukiendeleza chama wanakusikiliza na kukusaidia na km kwa muda huo wapo busy wanakipigia badae, Ombi langu kwa uongozi wa juu wa chama:
  • Watu kama hawa muwachukulie hatua mathubuti kwani wanazuia maendeleo ya chama kwa makusudi na wanatukera sana sisi wanachama tuliopo ngazi za chini tunaojaribu kufanya utekelezaji wa kukiimarisha chama kutoka ngazi ya msingi na tawi sehemu sehemu zilizo muhimu zaidi.
 
Hapo kwenye red mama.....sawa umemtaja Zitto,na kama sikosei Zitto na Benn wapo humu jamvini kwa ID za ukweli halisia tokea kitambo sana.Je wewe mwenzetu ni nani? kama kweli wewe ni......kwanini usitumie full ID ya ukweli? Acha hizo muheshimiwa
Binafsi kuna vitu amesema miss parliament vimenistua sana na vitu nilivyokuwa navipuuza kwa kuamini hazina kubwa ya cdm ya wazee na wasomi makini haviwezi kuigawa cdm sasa rasmi naamini kuna makundi cdm tena yanayokwenda kuiua cdm.kutajwa na ndesamburo,kitila pia kumenikatisha tamaa.makundi yanayoimaliza ccm ndio yaliyopo cdm na huku si kutofautiana kimtizamo tu bali hila mbaya kabisa.yamesemwasemwa tukadharau lakini bandugu lipo tatizo na kwa sisi wanamageuzi tunaosimama na cdm kuijenga tz mpya inatukatisha tamaa.mwaka 2015 sio mbali kabla hatujaendeleza mapambano na ccm inabidi cdm wajipange kwanza kama timu.cdm sio chama kichanga tena na naona dalili za nccr kutokea cdm,jamani viongozi wetu msipuuze kuna tatizo cdm maana mpaka sasa lazima tukiri kukosa mkakati na umoja umefanya pamoja na kuongeza wabunge lakini mpaka sasa hakujachimbika kama tulivyotegemea na hoja nyingi hazijafanikiwa bungeni.lipo tatizo tena kubwa jamani.Dr slaa unayo kazi kubwa na najua kichwa kinakuuma maana najua mengi hayaendi kama ulivyodhani au ulivyotaka.watu wakianza kuiamini ccm hata kwa nukta moja tu kwisheny! Tusirudi huko wakuu sababu ya makundi tu ya urais!
 
asante miss parliament,kwa kusema kwako hata kama si kwa utaratibu lakini umefanya tuliyokuwa tunapuuza tuyape uzito stahili credibility cdm isishuke
 
Mleta mada kama anataka kuwa mkweli na aseme alipiga simu lini na hilo tawi lilipaswa kufunguliwa wapi, kwani kuandika tuu hivyo kil mmoja anaweza kuandika na kumsingizia mwenzake.

Na huu ni mkakati ndio maana amaejitokeza mtu wa jimbo la Vunjo Benn na kuamua kuokomalia hii mada , wenye akili zao tumeng'amua nini kinaendelea .

Ninachojua ni kuwa John Mrema yupo bungeni kabla hata ya bunge kuanza kwa ajili ya kushirikiana na wabunge kuandaa hotuba na hoja mbalimbali na haswa kipindi hiki cha bunge na ndio maana hata timu ya kwenda Arusha kushugulikia ule mgogoro wa madiwani pamoja na ukweli kuwa yeye ni mkurugenzi wa madiwani hayupo kwani ana majukumu mengine Dodoma.

Ninachojua ni kuwa mleta mada alikuwa anatafuta kitu fulani ila kapuuzwa .

Sheer Rhetorics.........Siamini kama ni wewe umeamua kuandika kitu usicho na uhakika nacho.
Unaweza kuthibitisha hili,ati mimi natokea Vunjo.Tafadhali naomba ufanye utafiti .Vunjo sio jimbo langu,kama ni kugombea nitagombea jimbo lolote Hapa Dar au jimboni kwangu nilikozaliwa Rombo.Acha kuwapotosha watu kwa habari zisizo na tafiti mkuu.Just do credibility a favour,thibitisha connection iliyopo kati yangu na mkakati unaousema.Tafadhali hebu rudia post yangu uielewe.

Binafsi kuna vitu amesema miss parliament vimenistua sana na vitu nilivyokuwa navipuuza kwa kuamini hazina kubwa ya cdm ya wazee na wasomi makini haviwezi kuigawa cdm sasa rasmi naamini kuna makundi cdm tena yanayokwenda kuiua cdm.kutajwa na ndesamburo,kitila pia kumenikatisha tamaa.makundi yanayoimaliza ccm ndio yaliyopo cdm na huku si kutofautiana kimtizamo tu bali hila mbaya kabisa.yamesemwasemwa tukadharau lakini bandugu lipo tatizo na kwa sisi wanamageuzi tunaosimama na cdm kuijenga tz mpya inatukatisha tamaa.mwaka 2015 sio mbali kabla hatujaendeleza mapambano na ccm inabidi cdm wajipange kwanza kama timu.cdm sio chama kichanga tena na naona dalili za nccr kutokea cdm,jamani viongozi wetu msipuuze kuna tatizo cdm maana mpaka sasa lazima tukiri kukosa mkakati na umoja umefanya pamoja na kuongeza wabunge lakini mpaka sasa hakujachimbika kama tulivyotegemea na hoja nyingi hazijafanikiwa bungeni.lipo tatizo tena kubwa jamani.Dr slaa unayo kazi kubwa na najua kichwa kinakuuma maana najua mengi hayaendi kama ulivyodhani au ulivyotaka.watu wakianza kuiamini ccm hata kwa nukta moja tu kwisheny! Tusirudi huko wakuu sababu ya makundi tu ya urais!

Mtazamo,

Naelewa sana unavyojisikia.Una mapenzi ya kweli na Chadema.Ukweli ni kwamba sioni mgogoro wowote ndani ya chama chetu,hao wanaotumia ID feki kuchafulia watu majina wapuuze tu.Chadema is strong,and it will remain so!
 
Back
Top Bottom