John Mrema hufai kuwa CHADEMA

Na bado anatuhumiwa kuingilia uchaguzi wa Uvccm,anawasaidia wagombea gharibi bilali na thabit jecha kombo,leila na jamal kuunda makundi.anamhamasisha mgombea wa bara.huko uvccm kuna muhusu nini,kuna baadhi ya wabunge wanalalamika sana huku.wanasema huyo kijana wenu anaingilia mambo ya ndani ya watu wengine.ben kufanya hizo vurugu una baraka za chama?
 
Hahahaaaa,siasa bwana! Anyway this is the right place to see all! enjoy!
 
Hahahaaaa,siasa bwana! Anyway this is the right place to see all! enjoy!
Miss Parliament unaonekana una nondo za kutosha kuhusu huyu mjamaa. Nafikiri ni vuzuri mkajipanga na kumaliza kichama ile msije mkanufaisha CCM na ile morale yote ya wanaowaunga mkono ikapotea! This is serious issues!
 
Naamini hapa wapo viongozi wa chadema wamesikia ujumbe utamfikia maramoja na atakuwa mwepesi katika wito kwani hapo alipo ninyimliomuweka!

Mleta thread nadhani utakua na mgogoro binafsi na na wa sio hayo uliyoandika, mbona husemi upo jimbo gani?kama ni vunjo tawi liko wapi?njia panda himo,samanga,marangu mtoni,mwika,kisamo,mandaka au wapi?!

acha nimpigie John tupate ukweli, ninavyomjua John ni mtu mzuri sana tu so hawez kukataa bila sababu kwenda kuzindua hilo tawi,
na anaposema anapiga hajibiwi,hata sms hajibiwi sidhani kama ni kweli binafsi hata in my graduation chuo nimemualika na kanijibu msg zote na hadi fb amerespond Invitation,sasa iweje kwa ishu kama hii ya chama iwe hivi?
 
Back
Top Bottom