John heche yuko wapi?..nimemiss matamko yake

mtukwao12

Senior Member
Feb 16, 2012
112
5
Wakuu ni kitambo sasa sijayasikia matamko ya mwenyekiti shupavu wa Baraza la vijana wa chadema a.k.a BAVICHA...natamani sana kumsikia akitoa maoni yake kwa njia yake ile ile ya matamko na maandamano ili atupe route zake zile jamani...
huyu jamaa ni kiboko sana na akijipanga vizuri anaweza kuja kuwa hata rais wa nchi yetu siku zijazo. ila kwa sasa nimeyamiss sana matamko yake jamani.
 
atakuwa tarime tu anajenga chama...au kama si huko basi kamcheki makao makuu pale..
 
Back
Top Bottom