CHADEMA ikemee Uwepo wa Taasisi ndani ya Taasisi; unaleta mgongano wa kimaslahi

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
19,074
28,738
Nikipita mitandaoni nimekutana na video ya kiongozi wa CHADEMA anaitwa ndugu Daniel Ngogo Naftali akitoa press statement kuhusiana na masuala ya Tegeta Escrow na ufisadi uliofanyika kimfumo.

View: https://www.youtube.com/live/M1HNMuJN6mU?si=RKFzHIKMCwmmn5Gq

Hoja zake ni nzito sana lakini kilichonishangaza anatoa maoni sio kama kiongozi wa CHADEMA huko mkoani Rukwa ila kama mratibu wa NGO yake binafsi. Suala hili pia analifanya Mdude Nyagali kutumia mwavuli wa "Sauti ya Wananchi". Huko nyuma pia Ben Saanane naye alikua akitoa matamko sio kama Mkurugenzi wa sera na tafiti CHADEMA ila kama mratibu wa NGO ya "Kizazi cha kuhoji". Huko BAWACHA pia kuna binti mmoja machachari sana anaitwa Dorcas Francis anayo "Bavicha Queens" .

Hizi vuguvugu ni nzuri na zinaongeza initiatives za vijana kwenye kujitegemea kimawazo bila kusubiri support ya CHADEMA. However, changamoto ni kwamba inaleta mgongano wa kimaslahi maana kuna misimamo ya CHADEMA kama taasisi inaweza kinzana na misimamo ya initiatives za hao vijana.

Mfano Mdude alitaka maandamano ya kupinga mkataba ila chadema walikua na ratiba ya mikutano huko kanda ya Nyasa. Sasa haya mambo yanaweza kuwa madogo ila huko mbele utashangaa hizi NGO zinasema washiriki uchaguzi huku chama hakitaki chaguzi bila tume huru. Madhara yake ndio kama yale ya kina Halima Mdee unashangaa maamuzi rasmi ya chama hayaheshimiki kabisa sababu kuna taasisi ndani ya taasisi.

Ningeomba CHADEMA mkemee hili swala mapema, kama wana NGOs zao basi waachie viongozi wengine watoe matamako. Lakini hili la kwamba kila kiongozi anakuwa na taasisi binafsi na yenyewe inakua frontline ilihali ana access na resources za chama haikai vizuri.

Naomba kuwasilisha
 
Naunga mkono hoja. Na ni rahisi kwa maadui kujichomeka huko na kuchafua taswira ya chama.
 
Huko CHADEMA yote ni makambale na mabeberu .hakuna cha mkubwa wala mdogo,hakuna wa kumheshimu mwenzake na mamlaka yake wala kumsikiliza mwenzake.huko ni mwendo wa mkanyagano tu utafikiri disco toto linalofanyika uwanjani. Huko kila mtu ana meno makucha.sasa wewe sema uone utakavyo paruliwa sura yako.

Acha waende na mwendo huo huo maana ndio mbowe alivyowalea na kuwakuza.hawana adabu kabisa. Muda wote wanakuwa kama wamejifukiza kichwani mwao.
 
Hii tabia haifai, ACT na CCM kwa hili wanajitahidi mnoo. Ila chadema unashangaa MMM anatoa tamko kabla ya kamati kuu kujadili.
 
Kwani wanavunja sheria gani?

Msemaji wa Chadema ni Katibu mkuu mh John Mnyika sasa huyo Mdude Nyagali ataongea kwa nafasi gani Ndani ya Chama?

Au yule muuza Vitabu Yericko ni nani hapo Ufipa st hadi aongee na waandishi?

Jumaa Mubarak
 
Hapo hakuna mgongano wowote wa maslahi binafsi, wanachofanya hao vijana wa CHADEMA ndio afya ya demokrasia na ndivyo vyama vya siasa vinavyofanya kazi katika demokrasia zilizokomaa, sio kufungiana kwenye chama kama mko kwenye chungu.
Sasa NGO inasema tupinge mkataba kwa maandamano whilst chama kinasema kinafanya mobilisation ya mikutano. Hapo unasimamia wapi? Kumbuka wwe ni kiongozi kwenye taasisi zote mbili? Collective responsibility inakuaje hapo
 
Kwani wanavunja sheria gani?

Msemaji wa Chadema ni Katibu mkuu mh John Mnyika sasa huyo Mdude Nyagali ataongea kwa nafasi gani Ndani ya Chama?

Au yule muuza Vitabu Yericko ni nani hapo Ufipa st hadi aongee na waandishi?

Jumaa Mubarak
Yes lakini huyu Naftali ana position za uongozi ngazi ya kanda, mkoa, wilaya na kitaifa. Anaweza ita press akafafanua bila shida, cha ajabu wanaita press kwa mwavuli wa NGOs binafsi!! So wanataka kujijenga wenyewe? Hii inajenga picha kana kwamba chama hakiongelei mambo ya wananchi ila NGOs zao ndio zinaongelea? Kwani kupinga mkataba wa bandari ukiwa umevaa uniform za chadema kuna kosa gani? Ila kwenda pembezoni huko ni kuleta mkanganyiko usio wa lazima.
 
Nikipita mitandaoni nimekutana na video ya kiongozi wa CHADEMA anaitwa ndugu Daniel Ngogo Naftali akitoa press statement kuhusiana na masuala ya Tegeta Escrow na ufisadi uliofanyika kimfumo.

View: https://www.youtube.com/live/M1HNMuJN6mU?si=RKFzHIKMCwmmn5Gq

Hoja zake ni nzito sana lakini kilichonishangaza anatoa maoni sio kama kiongozi wa CHADEMA huko mkoani Rukwa ila kama mratibu wa NGO yake binafsi. Suala hili pia analifanya Mdude Nyagali kutumia mwavuli wa "Sauti ya Wananchi". Huko nyuma pia Ben Saanane naye alikua akitoa matamko sio kama Mkurugenzi wa sera na tafiti CHADEMA ila kama mratibu wa NGO ya "Kizazi cha kuhoji". Huko BAWACHA pia kuna binti mmoja machachari sana anaitwa Dorcas Francis anayo "Bavicha Queens" .

Hizi vuguvugu ni nzuri na zinaongeza initiatives za vijana kwenye kujitegemea kimawazo bila kusubiri support ya CHADEMA. However, changamoto ni kwamba inaleta mgongano wa kimaslahi maana kuna misimamo ya CHADEMA kama taasisi inaweza kinzana na misimamo ya initiatives za hao vijana.

Mfano Mdude alitaka maandamano ya kupinga mkataba ila chadema walikua na ratiba ya mikutano huko kanda ya Nyasa. Sasa haya mambo yanaweza kuwa madogo ila huko mbele utashangaa hizi NGO zinasema washiriki uchaguzi huku chama hakitaki chaguzi bila tume huru. Madhara yake ndio kama yale ya kina Halima Mdee unashangaa maamuzi rasmi ya chama hayaheshimiki kabisa sababu kuna taasisi ndani ya taasisi.

Ningeomba CHADEMA mkemee hili swala mapema, kama wana NGOs zao basi waachie viongozi wengine watoe matamako. Lakini hili la kwamba kila kiongozi anakuwa na taasisi binafsi na yenyewe inakua frontline ilihali ana access na resources za chama haikai vizuri.

Naomba kuwasilisha

Kiufupi CCM inaenda kukwapua hela ya kuendeshea uchaguzi.....

Sethi ni kiungo tu
 
Ningeomba @CHADEMA mkemee hili swala mapema, kama wana NGOs zao basi waachie viongozi wengine watoe matamako. Lakini hili la kwamba kila kiongozi anakuwa na taasisi binafsi na yenyewe inakua frontline ilihali ana access na resources za chama haikai vizuri.

Naomba kuwasilisha
CHADEMA ni chama cha siasa, hizo taasisi au NGO, si vyama vya siasa. Wapewe utaratibu wa wanamna ya kufanya bila kuathiri ratiba au shughuli za chama.
 
Yes lakini huyu Naftali ana position za uongozi ngazi ya kanda, mkoa, wilaya na kitaifa. Anaweza ita press akafafanua bila shida, cha ajabu wanaita press kwa mwavuli wa NGOs binafsi!! So wanataka kujijenga wenyewe? Hii inajenga picha kana kwamba chama hakiongelei mambo ya wananchi ila NGOs zao ndio zinaongelea? Kwani kupinga mkataba wa bandari ukiwa umevaa uniform za chadema kuna kosa gani? Ila kwenda pembezoni huko ni kuleta mkanganyiko usio wa lazima.
Bwashee Wanasiasa Wote ni Wabinafsi sana

Tundu Lisu aliwahi kusema nje ya siasa huna Jukwaa la Uhakika la kusemea jambo lolote!

Mwabukusi Mwenyewe Chadema ndio imesababisha Wananchi waendelee kumfuatilia hadi leo
 
Nikipita mitandaoni nimekutana na video ya kiongozi wa CHADEMA anaitwa ndugu Daniel Ngogo Naftali akitoa press statement kuhusiana na masuala ya Tegeta Escrow na ufisadi uliofanyika kimfumo.

View: https://www.youtube.com/live/M1HNMuJN6mU?si=RKFzHIKMCwmmn5Gq

Hoja zake ni nzito sana lakini kilichonishangaza anatoa maoni sio kama kiongozi wa CHADEMA huko mkoani Rukwa ila kama mratibu wa NGO yake binafsi. Suala hili pia analifanya Mdude Nyagali kutumia mwavuli wa "Sauti ya Wananchi". Huko nyuma pia Ben Saanane naye alikua akitoa matamko sio kama Mkurugenzi wa sera na tafiti CHADEMA ila kama mratibu wa NGO ya "Kizazi cha kuhoji". Huko BAWACHA pia kuna binti mmoja machachari sana anaitwa Dorcas Francis anayo "Bavicha Queens" .

Hizi vuguvugu ni nzuri na zinaongeza initiatives za vijana kwenye kujitegemea kimawazo bila kusubiri support ya CHADEMA. However, changamoto ni kwamba inaleta mgongano wa kimaslahi maana kuna misimamo ya CHADEMA kama taasisi inaweza kinzana na misimamo ya initiatives za hao vijana.

Mfano Mdude alitaka maandamano ya kupinga mkataba ila chadema walikua na ratiba ya mikutano huko kanda ya Nyasa. Sasa haya mambo yanaweza kuwa madogo ila huko mbele utashangaa hizi NGO zinasema washiriki uchaguzi huku chama hakitaki chaguzi bila tume huru. Madhara yake ndio kama yale ya kina Halima Mdee unashangaa maamuzi rasmi ya chama hayaheshimiki kabisa sababu kuna taasisi ndani ya taasisi.

Ningeomba CHADEMA mkemee hili swala mapema, kama wana NGOs zao basi waachie viongozi wengine watoe matamako. Lakini hili la kwamba kila kiongozi anakuwa na taasisi binafsi na yenyewe inakua frontline ilihali ana access na resources za chama haikai vizuri.

Naomba kuwasilisha

Bila shaka mawazo yako yamepokelewa na yatafanyiwa kazi , Chadema ina masikio
 
Nimeshawahi kuwashauri sana CHADEMA kuhusiana na hili ila wanaishia kutukana tu. Vyama vya siasa vina taasisi zake rasmi zenye wasemaji wake na sio kila mtu kutoka na kuongea kama ilivyo CHADEMA. Ninawashauri waendelee hivyohivyo ili waje kujifunza kwa vitendo kwenye sanduku la kura 2025
 
Lakini ukiwa sikiliza viongozi wao na vijana wao wamewavuna huko, cha kujiuliza walifanyia vetting za kutosha kabla kuwasijiri chamani?
 
Nikipita mitandaoni nimekutana na video ya kiongozi wa CHADEMA anaitwa ndugu Daniel Ngogo Naftali akitoa press statement kuhusiana na masuala ya Tegeta Escrow na ufisadi uliofanyika kimfumo.

View: https://www.youtube.com/live/M1HNMuJN6mU?si=RKFzHIKMCwmmn5Gq

Hoja zake ni nzito sana lakini kilichonishangaza anatoa maoni sio kama kiongozi wa CHADEMA huko mkoani Rukwa ila kama mratibu wa NGO yake binafsi. Suala hili pia analifanya Mdude Nyagali kutumia mwavuli wa "Sauti ya Wananchi". Huko nyuma pia Ben Saanane naye alikua akitoa matamko sio kama Mkurugenzi wa sera na tafiti CHADEMA ila kama mratibu wa NGO ya "Kizazi cha kuhoji". Huko BAWACHA pia kuna binti mmoja machachari sana anaitwa Dorcas Francis anayo "Bavicha Queens" .

Hizi vuguvugu ni nzuri na zinaongeza initiatives za vijana kwenye kujitegemea kimawazo bila kusubiri support ya CHADEMA. However, changamoto ni kwamba inaleta mgongano wa kimaslahi maana kuna misimamo ya CHADEMA kama taasisi inaweza kinzana na misimamo ya initiatives za hao vijana.

Mfano Mdude alitaka maandamano ya kupinga mkataba ila chadema walikua na ratiba ya mikutano huko kanda ya Nyasa. Sasa haya mambo yanaweza kuwa madogo ila huko mbele utashangaa hizi NGO zinasema washiriki uchaguzi huku chama hakitaki chaguzi bila tume huru. Madhara yake ndio kama yale ya kina Halima Mdee unashangaa maamuzi rasmi ya chama hayaheshimiki kabisa sababu kuna taasisi ndani ya taasisi.

Ningeomba CHADEMA mkemee hili swala mapema, kama wana NGOs zao basi waachie viongozi wengine watoe matamako. Lakini hili la kwamba kila kiongozi anakuwa na taasisi binafsi na yenyewe inakua frontline ilihali ana access na resources za chama haikai vizuri.

Naomba kuwasilisha

Gentleman, Unyumbu is real....
 
hili ni angalizo zuri kabisa kama wakilifuata litakuwa lenye tiba na manufaa kwa taasisi
ccm wana mbinu nyingi nakumbuka hata kwenye kifo cha mvungi palikutwa na bendera ya chadema ikiwa imefungwa kwenye panga au bunduki
 
Back
Top Bottom