Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,337
- 9,758
Ndugu zangu Watanzania,
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na mbunge wa zamani Mheshimiwa John Heche amesema wao wapo tayari kufanya mdahalo na CCM, kwa kuwa ni CCM yenye majibu ya maswali na mambo yote ambayo wanayazungumza wao CHADEMA.
Ameyasema hayo kupitia East Afrika redio &Tv siku moja baada ya katibu wa itikadi ,uenezi na mafunzo wa CCM Mheshimiwa Paul Makonda kutaka mdahalo na viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mbowe Mwenyewe.
Rai yangu ni kuwa Wao CHADEMA wajikusanye tu na wakishakamilika basi wampe taarifa Mheshimiwa Paul Makonda ambaye yeye tayari ameshajiandaa na kujipanga tayari na anamajibu yote mkononi mwake juu ya mambo mbalimbali wanayoyazungumzia CHADEMA.
Huo ndio ukomavu na siyo ule utoto wa kususa susa kama watoto waliodekezwa na wazazi wao.siasa ni hoja. leteni hoja zishindanishwe mezani na siyo kukimbia kimbi tu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.