josias
Member
- Jan 7, 2014
- 47
- 34
TAMKO LA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KITIVO CHA ELIMU UDOM.
Kutokana na kubainika kwa ubadhilifu wa kutisha katika akaunti ya UDOSO kama itakavyo kuja kubainishwa hapo baadae katika ripoti rasmi ya balaza LA mawaziri, Wizara ya katiba na sheria inapenda kuweka wazi msimamo wake kuwa maazimio ya kikao cha balaza la mawaziri kilicho kaa hapo Jana tar 16/06/2015 yatalazimika kutekelezwa Mara moja huku mtuhumiwa John Fransisco Nzilanyingi ambaye inaonekana wazi kuwa amefanya ufisadi wa kutisha lazima Akamatwe Mara moja na vyombo vya sheria huku hatua nyingine za kinidhamu kwa kufuata katiba ya UDOSO na Student by Law zikitumika kumsimamisha kuingia kwenye shughuri zote za kimasomo katika chuo kikuu cha Dodoma.
Hii ni kutokana na Students by Laws( PART II XXIV ) Mismanagement and/or embezzlement of students organization funds and/or of any other recognized students society established under the auspices of the students organization in accordance with the relevant provisions of the students organization constitution for the time in force ambayo penalty (PART V) 8.0 May suspend a student found guilt of that offence, (PART 5) 8.0 iv a) may rusticate a student for a maximum of nine months or one academic year.
Hivyo basi wizara ya katiba na sheria inatoa rai kwa wanachuo wote kutaka uongozi wa sheria uchukue mkondo wake bila kumuonea MTU wala kumpendelea MTU.
Hivyo wizara ya katiba na SHERIA itapambana kuhakikisha John Francisco Nzilanyingi haingii kufanya mitihani yake ya mwisho na kuagiza utawala kutoa barua ya kumsimamisha masomo Mara moja kabla ya siku ya Ijumaa ili vyombo vya SHERIA vichukue mkondo wake.
Ahsanteni.
Imetolewa na
Charles Josias
Naibu Waziri wa katiba na SHERIA
.