Jk watanzania wanaomboleza yeye anafanya sherehe ikulu imenikera sana.

tunahitaji umoja na ushirikiano ktk harakati za ukombozi wa tanganyika yetu,sio vizuri kuwasema vibaya wafu ambao ni watanzania wenzetu. Tuwe wazalendo tuipende nchi yetu kwanza then mambo mengine yafuate nyuma.
 
Wewe unajua? Au unaongea tuuu....

Nikupe mfano.

1. William Ruto
2. Uhuru Kenyatta
3. Henry Kosgey.. niendelee!!!

Wote hawa wakati wanachochea mauaji ya wananchi unadhani walijua kuwa watapelekwa huko!!

U don't know what you are talking about!

Unalinganisha upuuzi mlioufanya na mauaji yaliyotokea Kenya baada ya uchaguzi?

Sitaki kuamini kuwa hapo ndio umefikia upeo wako wa kufikiri.

Any way, hata kama uchafu wenu ungekuwa isuue ya ICC, watakaokamatwa na kuwajibishwa ni viongozi wa CDM.

Na bado, itakula kwenu mwaka huu.
 
Na kwa nini asifanye sherehe, kwanza ana mtaji wa kutosha sana wa watanzania wanaomuunga mkono. Kazi hapa ni kuwaelimisha hawa wanaompa kiburi JK, hawa ambao akitoka tu wanaacha kazi zao na kukesha wakiimba na kumsifu kama kafanya la maana sana. Hawa ambao wanaishi kwa mlo 1 lakini wako tayari kushinda barabarani wakimpigia makofi, hawa wazee ambao wakati wenzao wanalia wao wanamsifu kila kukicha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom