mkuu utashangaa siku hiyo itakavyofika saa ya hotuba tanzania itakavyowaka.....ila hotuba ikiisha tu tutapewa giza kama kawa! mazingaombwe kama hayo sirikali yetu hii inayawezeza! si umeyaona kabla ya bajeti ya nishati na madini kupitishwa...watashindwa kutoa mwanga kwa saa moja ya hotuba ya mkw.e.re!NA anaonekana hana wasi wasi na yanayotokea hapa nchini kama vile hayamgusi moja kwa moja na sijui hata akihutubia ni wangapi watakamsikia maana asilimia kubwa watakuwa gizani kama sio wote
Utasikia"Tumepiga hatua kubwa sana na wataalam wa mambo ya uchumi wametusifu sana, sisi tunakuza uchumi wengine wanaangaika na maandamano" SIJUI HUWA ANAMAANISHA UCHUMI WA KWENYE MAKARATASI?
mkuu utashangaa siku hiyo itakavyofika saa ya hotuba tanzania itakavyowaka.....ila hotuba ikiisha tu tutapewa giza kama kawa! mazingaombwe kama hayo sirikali yetu hii inayawezeza! si umeyaona kabla ya bajeti ya nishati na madini kupitishwa...watashindwa kutoa mwanga kwa saa moja ya hotuba ya mkw.e.re!
ni aljinun a.k.a majini watu.Mkuu ukiuliza sana na ukifuatilia sana unaweza pata ugonjwa wa moyo <br />
Mambo mengine bongo hii yanapasua kichwa na unaweza jiuliza hao wanaoyafanya ni watu kweli walio na utashi au ni wanyama
Mkuu ukiuliza sana na ukifuatilia sana unaweza pata ugonjwa wa moyo
Mambo mengine bongo hii yanapasua kichwa na unaweza jiuliza hao wanaoyafanya ni watu kweli walio na utashi au ni wanyama
mkuu utashangaa siku hiyo itakavyofika saa ya hotuba tanzania itakavyowaka.....ila hotuba ikiisha tu tutapewa giza kama kawa! mazingaombwe kama hayo sirikali yetu hii inayawezeza! si umeyaona kabla ya bajeti ya nishati na madini kupitishwa...watashindwa kutoa mwanga kwa saa moja ya hotuba ya mkw.e.re!
Sitegemei jipya.
halafu utasikia uchumi unakua na inflation imedhibitiwa.
Ndo wale wanosema ukinikanyaga tu...Te teh teh Haki ya Mungu Tanzaniaaaa
GDP nayo itakuwa imepanda sana...Huku ukuuliza reflection yake kwa pato la mdanyanyika mmoja mmoja utasikia bado tunafanya upembuzi yakinifu
JK is the looser president in Tanzania, kwanini tumsimng'oe maana sasa hivi anaishi kisanii sana, wenzake ndani ya chama walitaka kumng'oa kwenye kiti cha uenyekiti akaja na slogan ya kujivua gamba naona anaendelea kupeta lakini mpaka leo hakuna aliyejivua gamba huku kwenye serikali kabisa hali ndio tete, jamaa kaprove failure kabisa...
Ukitaja neno "ahadi" unanikumbusha uwanja wa ndege wa kimataifa tulioahidiwa kigoma.Mkuu hakuna jipya na zaidi zaidi ni ahadi kuwa bado serikali iko kwenye mchakato na mipango lukuki ambayo haijulikani itaisha lini
Deni letu la nje limepungua na serikali imepunguza matyumizi yake kwa asilimia kadhaa
Ukitaja neno "ahadi" unanikumbusha uwanja wa ndege wa kimataifa tulioahidiwa kigoma.
Kuna wataalamu wa mambo ya matibabu walikutana Ujeremani. mmoja alitoka Japan, mwingine Ujeremani na watatu Tanzania.
Kutoka Japan akasema. Sisi katika nchi yetu kuna mtoto alizaliwa bila mikono yote, tulifanikiwa kumuwekea mikono ya bandi na sasa amekuwa mwanamichezo maarufu duniani na ameweza kuiletea nchi yetu medali kibao.
Kutoka Ujeremani akasema: sisi Sisi katika nchi yetu kuna mtoto alizaliwa bila miguu yote, tulifanikiwa kumuwekea miguu ya bandi na sasa amekuwa athlets maarufu duniani na ameweza kuiletea nchi yetu medali kibao.
Kutoka Tanzania akasema: sisi Sisi katika nchi yetu kuna mtoto alizaliwa bila kichwa, tulifanikiwa kumuwekea nazi kama kichwa na sasa amekuwa RAIS maarufu duniani.
Mjapan na Mjerumani wakabaki wanashangaa sana. Hivi ninyi mnashangaa nini?? ndo hivyo tena.