Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
Mwamayu shida ya hawa wakina mama wakiambiwa serikali imebosha na kumaliza kero za maji ndio wanaoshangilia kwanza. Huwezi kuamini ninayokwambia. We nenda mkutano wa Kikwete usikie wanaoshangilia pumba ni akina nani.