RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Umeme tutapigwa danadana hadi hapo tutakapo sahau Sisi wenyewe na kuchukulia swala Hilo kuwa la kawaida! Maji katika bwawa la Nyerere yamejaa kwa asilimia 99% shida iliyopo pale kutopata umeme NI mitambo ya kuendesha hayo maji yaliyojaa katika bwawa Hilo.
Ndiyo maana matamko yamekuwa mengi kesho utasikia February tunawasha mara march tunawasha na huku wakiaminisha umma kwa kuonesha mitambo ikizunguka hao Jamaa NI wahuni Tu ila Hali NI mbaya, suala la umeme blitaendelea kuwa changamoto kwa taifa na ndiyo maana utasikia tusitegemee umeme wa maji pekee cha kujiuliza NI kwamba mbona hayo maji yanasemwa kwani hayapo?
Nini kimekwamisha wao kuzalisha umeme hapo ndiyo kuna maneno yasiyoeleweka. Hii nchi haina shida ya umeme tatizo la umeme limetengenezwa na walafi waliohudumu katika wizara hiyo.
Raisi alivyoona kijana pendwa anaharibu alichokifanya NI kumtoa hapo nakumpelekwa wizara nyingine.
Sisi wananchi tujiulize kama nchi inaendeshwa hivi je mhula unaofuata itakuaje maana tulitegemea tuone raisi alifanya kazi lakini amejikalia kimya kama vile hayupo nchini.
Tujiulize malalamiko haya yaliyopo yapo mhula huu anaomaliza je mhula wa pili ambao hatogombea kabisa itakuaje , wananchi hapa tuna mambo yakujiuliza kwa viongozi hawa tulionao.