JK na Mgaya sasa damu damu...

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Baada ya kutupiana vijembe mwaka juzi, hatimaye Mgaya na JK sasa wamekuwa maswahiba kama picha hii inavyothibitisha. nani mshindi? Wafanyakazi (Mgaya) ama serikali (JK)???

Mgaya.JPG
 
Spies know each other...ukiona Mosad walivyomuua yule jamaa wa Hamasi Dubai, last year, utagundua there is only one common thing among the spies...they are all controversial
 
viongozi wa Tucta waache unafiki kila siku mishahara midogo,kodi ipunguzwe hakuna linalofanyika wakati ripoti ya cag ikionyesha jinsi mafao ya wafanyakazi yanavyoliwa hatujasikia kauli yoyote wajifunze kwa wenzao wa africa kusini namna gani wanavyowakilisha wafanyakazi
 
Achana na picha, Mgaya anasumbuliwa na njaa kuu lastime walimu walipewa hongo kwa kuwekewa hela kwenye account zao za bank hela ambayo haikuwa na maelezo kwamba ni ya nini na Mgaya akakaa kimya
 
viongozi wa Tucta waache unafiki kila siku mishahara midogo,kodi ipunguzwe hakuna linalofanyika wakati ripoti ya cag ikionyesha jinsi mafao ya wafanyakazi yanavyoliwa hatujasikia kauli yoyote wajifunze kwa wenzao wa africa kusini namna gani wanavyowakilisha wafanyakazi

Kuna kila dalili kuwa Mgaya kasunda kitu kidogo
 
Mgaya naye anaganga njaa tu huyo, baada ya kurupushani ndefu akatulizwa! Kwa sasa yuko kimyaaaa!
 
Njaa acha iitwe njaa
huyu jamaa yale matamko
yake yalishia wapi vile???
 
huyu mgaya aliambiwa na jk za kuambiwa changanya na zako.kumbuka hata kwenye mgomo wa madaktari huyu mgaya alikua upanda wa serikali..
 
Back
Top Bottom