johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,015
- 142,055
Hata sasa hivi ukifanya Utafiti utagundua Chawa Wengi wanatoka maeneo ya " Waswahili" kama Mikoa yote ya Pwani, Tabora na Kigoma
Na kiini cha Uwepo wa Chawa ni Uvivu uliotamalaki wa Jamii ya Waswahili
Hata wakati wa kudai Uhuru na baada ya Uhuru Chawa wa Mwalimu Nyerere walikuwa ni Waswahili wa Mzizima
Hata wakati akina mzee Mbowe, Mgaya nk wanamchangia Mwalimu Nyerere nauli ya kwenda UNO Waswahili walisema Wao mchango Wao ni Ngoma ya Mdundiko kutoka Uwanja wa Ndege hadi Makao makuu ya TANU siku Mwalimu Nyerere atakaporejea
Chawa ni mfumo wa kitambo sana ila hawa Kizazi kipya wameurasimisha
Happy New Year 😀