Jamaa hatulii pale magogoni kabisa, inaelekea hakuna cha kufanya.........coz ndani ya mwez mmoja anakwea pipa mara kibao. Sikuona umuhimu wa yeye kwenda na ngeleja paris wakat waziri wake huyo angetosha kuudhuria ule mkutano.

labda ngeleja ndio kamsindikiza JK kwenda Paris (anakimbia joto la DOWANS) ......JK mwenzake alikuwa ameenda kuomba Bilioni 6.5 na kazipata zimepelekwa BOT na wafaransa.
tena kwenye saa 3 asub katupita na msafara wake pale taa za kamata anaelekea airport sijui anaenda kukamata pipa kwenda nchi gani ama anaenda kwa babu loliondo...!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.