JK mzee wa kukwea pipa

mndeme

JF-Expert Member
Sep 2, 2008
323
57
Jamaa hatulii pale magogoni kabisa, inaelekea hakuna cha kufanya.........coz ndani ya mwez mmoja anakwea pipa mara kibao. Sikuona umuhimu wa yeye kwenda na ngeleja paris wakat waziri wake huyo angetosha kuudhuria ule mkutano.
 
akili(za ngeleja)+akili(za JK) = -1 + 1
 
labda ngeleja ndio kamsindikiza JK kwenda Paris (anakimbia joto la DOWANS) ......JK mwenzake alikuwa ameenda kuomba Bilioni 6.5 na kazipata zimepelekwa BOT na wafaransa.
 
tena kwenye saa 3 asub katupita na msafara wake pale taa za kamata anaelekea airport sijui anaenda kukamata pipa kwenda nchi gani ama anaenda kwa babu loliondo...!!
 
President anafaa sana kuhodhi uwaziri wa utali...kitengo cha mali asili kiondolewe maana atavurunda!
 
Back
Top Bottom