Leo itakuwa siku nzuri sana kwa JK kuutangazia umma kuwa anaachia madaraka maana uozo haupo mkwenye baraza la mawaziri tu ila hata rasi kama taasisi
Ndg wa JF leo katika Gazeti la Jambo leo habari kubwa iliyotawala ni juu ya Rais Kikwete, kuwa kesho atavunja Baraza la Maziri lakini kila nikisoma habari yenyewe inakosa mashiko kutokana na huyun jamaa JK kutoeleweka na hata nikujiuliza je ni Kweli naweza kuvunja Baraza lake la Mawaziri Kesho?:behindsofa::behindsofa:
Waziri mkuu lazima aidhinishwe na Bunge; kwa kuwa hakuna kikao kinachoendelea hawezi kuvunja baraza la mawaziri kwa sasa labda afanye tuu mabadiliko
My take: hapa naona LOWASA, CHENGE, MAKAMBA etc etc etc ndani ya nyumba.
Ili muendelee kukaa mjini lazima muandike pumba hizi.
OTIS
Blockhead comment.misaburi at work.
Source Jambo Leo aka magamba
Linadai kuwa alikuwa anangojea sherehe za muungano na wapo watakao ondoka na wapo watakao baki.
Mie nadhani kaona sio upepo tena ni dhoruba inakuja ni mara ngapi anatakiwa kufanya ivyo anaghairii?