JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya sherehe za Muungano

Source Jambo Leo aka magamba

Linadai kuwa alikuwa anangojea sherehe za muungano na wapo watakao ondoka na wapo watakao baki.

Mie nadhani kaona sio upepo tena ni dhoruba inakuja ni mara ngapi anatakiwa kufanya ivyo anaghairii?

haaaah haaah! mzee hii ni interesting story to hear BUT is it true? can you confirm the truth of the story!
 
haaaah haaah! mzee hii ni interesting story to hear BUT is it true? can you confirm the truth of the story!


Jambo Leo ni gazeti la mtoto wake, lakini sijaona toleo la leo.
Ila kama kweli linayo taarifa hiyo, mhariri asingekubali kuiweka
bila kuwa na uhakika. Kwa hiyo habari hii itakuwa ya kweli.

Kwani ikiwa uongo ingeshusha heshima ya gazeti la mwanae.
 
Sasa atamuweka nani,mbona magambani hakuna mtu,ataendelea kulivunja kila siku na itafikia wakati atajivunja na yeye.
 
Back
Top Bottom