JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya sherehe za Muungano

Hawezi kuvunja baraza la mawaziri kwani hataki kuonekana kuwa ameshinikizwa, but that is exactly what will do him in!! Anyway kwani Asha -Rose amekwisha rudi?
 
Kwa mjibu wa jambo leo ambapo mwandishi anadai source yake ni ya kuaminika (nadhani itakuwa ikulu) linasema kesho tr 27 au kesho kutwa tr 28, raisi atatangaza baraza jipya la mawaziri. Lets wait and see.

My take: hapa naona LOWASA, CHENGE, MAKAMBA etc etc etc ndani ya nyumba.

chenge na lowassa unataka wakamalizie mifupa waliobakisha.
 
Kwa mjibu wa jambo leo ambapo mwandishi anadai source yake ni ya kuaminika (nadhani itakuwa ikulu) linasema kesho tr 27 au kesho kutwa tr 28, raisi atatangaza baraza jipya la mawaziri. Lets wait and see.

My take: hapa naona LOWASA, CHENGE, MAKAMBA etc etc etc ndani ya nyumba.

hiki ndio kilichobakia kwa Watanzania,wanaishi kwa kutegemea bashiri na tabiri badala ya hali halisi
 
Ndg wa JF leo katika Gazeti la Jambo leo habari kubwa iliyotawala ni juu ya Rais Kikwete, kuwa kesho atavunja Baraza la Maziri lakini kila nikisoma habari yenyewe inakosa mashiko kutokana na huyun jamaa JK kutoeleweka na hata nikujiuliza je ni Kweli naweza kuvunja Baraza lake la Mawaziri Kesho?:behindsofa::behindsofa:
 
changa la macho,wanataka upepo upite,kwani we hujui nchi hii mtu mchafu anajiita msafi ili awaongoze watu wasiompenda?think mara mbili bhana
 
Napendekeza Mh. Lowassa arudishwe kuwa waziri mkuu kwani hakunaga kama yeye magambani.
Unajua mara nyingi hua haueleweki misimamo yako kabisa,hivi hadi leo hii bado una amini EL ni muadilifu na ataendelea kua muadilifu? hebu thibitisha kauli yako hapa tuone kipi ambacho una hisi huyu bwana Manywele anacho until unaleta hizi Predictions
 
Ukikuta JK anapambana na nyoka, tafadhali rescue nyoka. Nyoka ni muhimu sana katika ECO-SYSTEM.
 
Napendekeza Mh. Lowassa arudishwe kuwa waziri mkuu kwani hakunaga kama yeye magambani.

mnyisanzu nakuunga mkono hapo penye green, lowasa ana kitu tunaita "uthubutu" potelea mbali kitakachotokea huko mbele ya safari lakini yeye keshafanya, lakini huyu mkuu wa sasa yeye kila kitu imekuwa very polite utamsikia akisema "chonde chonde shagiguku nakuomba........" sasa hii chonde chonde haitusaidii wakati mambo yana haribika.

lowasa arudi kuwa waziri mkuu. mh: mnyisanzu, naunga mkono hoja mia kwa mia. napenda kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom