JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya sherehe za Muungano

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source Jambo Leo aka magamba

Linadai kuwa alikuwa anangojea sherehe za muungano na wapo watakao ondoka na wapo watakao baki.

Mie nadhani kaona sio upepo tena ni dhoruba inakuja ni mara ngapi anatakiwa kufanya ivyo anaghairii?
 
Akilivunja tu na yeye ajiondoe kwani amekuwa janga kuu nchini.
 
Source Jambo Leo aka magamba

Linadai kuwa alikuwa anangojea sherehe za muungano na wapo watakao ondoka na wapo watakao baki.

Mie nadhani kaona sio upepo tena ni dhoruba inakuja ni mara ngapi anatakiwa kufanya ivyo anaghairii?
jambo leo !
 
Habari hii ina uhakika gani?., yetu masikio, ni wiki ya pili sasa tangu masikio na hisia za watanzania zimekuwa zikiteseka kwa kungojea matamko ya serikali kuhusu hili.
 
Kwa mjibu wa jambo leo ambapo mwandishi anadai source yake ni ya kuaminika (nadhani itakuwa ikulu) linasema kesho tr 27 au kesho kutwa tr 28, raisi atatangaza baraza jipya la mawaziri. Lets wait and see.

My take: hapa naona LOWASA, CHENGE, MAKAMBA etc etc etc ndani ya nyumba.
 
Leo itakuwa siku nzuri sana kwa JK kuutangazia umma kuwa anaachia madaraka
Source Jambo Leo aka magamba

Linadai kuwa alikuwa anangojea sherehe za muungano na wapo watakao ondoka na wapo watakao baki.

Mie nadhani kaona sio upepo tena ni dhoruba inakuja ni mara ngapi anatakiwa kufanya ivyo anaghairii?
 
Jk kwa jinsi anavyomgwaya Dr wa Ukwelii lazima atekeleze azimio lake.
Asipofanya hivyo ategemee gharika.

Hata hivyo tutarajie kusikia madudu yake kutoka kwa mawaziri
 
Leo itakuwa siku nzuri sana kwa JK kuutangazia umma kuwa anaachia madaraka maana uozo haupo mkwenye baraza la mawaziri tu ila hata rasi kama taasisi

Back
Top Bottom