Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Ni ukweli unaouma,hapo ndo inapokuja tofauti ya kusoma na kwenda shule..wakati 'graduates' wa nchi mbalimbali ndo chachu ya mabadiliko wa hapa hata kuzungumzia siasa anaona taabu ataonekana mshamba.,, ni wachache mno wanaojishughulisha hata kuangalia/kusikiliza taarifa ya habari...laiti wangesoma na kujua role played na siasa katika maisha yetu labda wangeamka..
Hili nalo neno! Hao unaowaita wasomi ni tatizo kupita maelezo. Hakuna cha usomi wala nini. Nitakupa mfano, walioko vyuoni watagoma kwa kukosa mikopo lakini hawatagoma kupinga Dowans kulipwa....huo ndio usomi wao! Sina zaidi maana nataka kujichoma moto!