JK Kanyaga twende, ukombozi wa watanzania u mikononi mwako!

Ni ukweli unaouma,hapo ndo inapokuja tofauti ya kusoma na kwenda shule..wakati 'graduates' wa nchi mbalimbali ndo chachu ya mabadiliko wa hapa hata kuzungumzia siasa anaona taabu ataonekana mshamba.,, ni wachache mno wanaojishughulisha hata kuangalia/kusikiliza taarifa ya habari...laiti wangesoma na kujua role played na siasa katika maisha yetu labda wangeamka..

Hili nalo neno! Hao unaowaita wasomi ni tatizo kupita maelezo. Hakuna cha usomi wala nini. Nitakupa mfano, walioko vyuoni watagoma kwa kukosa mikopo lakini hawatagoma kupinga Dowans kulipwa....huo ndio usomi wao! Sina zaidi maana nataka kujichoma moto!
 
Unadhani hivyo vyote vikipanda watanzania watashtuka? Hapa mziki utanoga sigara ikiuzwa moja sh 9,800, kiberiti 4,000, Konyagi ndogo sh 25,000, mirungi sh 17,000, banghe kipisi sh 11,000! Hapo ndio tutatia akili, saa kumi na mbili bendera ikishushwa uko ndani! Ukizubaa nje kabali utakayoipata utamkumbuka JK sana tu!
 
Jamani.. uchaguzi una matokeo yake. Binafsi sitaki kabisa kusikia mwana CCM au mtu yeyote aliyeunga mkono JK kurudi madarakani analalamikia iwe mafuta au dawa ya vipodozi. Watu lazima wajifunze kuishi na maamuzi waliyoyachukua.

yeeeeessss, yeeeeesssss, u r right, walichagua wenyewe ole wao mtu alalamike, Dr. Slaa alisema, kumrudisha JK Ikulu ni MAAFA, watu
walichukulia juu juu tu, lets wait miezi 6 hivi utaona moto, hakuna mtu kukimbia, maisha yatakuwa magumuuuuuuuu, watu wataingia
barabarani watatemabea hadi Ikulu kuomba chakula, maji na hata fedha za kujikimu.
 
natamani wauza mafuta wagome tena!
natamani walimu hawa wachache wagome ili badala ya kuferi % kubwa wafeli wote!
natamani mafundi jenereta wagome!
yaani natami kila kitu kibaya kibaya kitokee labda tutaamka!

wezi wakubwa hawa!
 
Ndugu Waberoya,

Habari za siku nyingi ndugu? Mkuu nao leo hii
ni MIEZI 10 tangu ufanye tathmini yako binafsi juu ya bei za bidhaa mbalimbali tu nchini na kutufanyia msaada mkubwa mno wa kututundikia kila kitu ukutani hapa JF.

Leo hii narejea na swali kwamba
tangu ile kauli mbiu ya Nguvu Mpya, Ari Mpya na Kasi Mpya ipate gea mpya na kukarabatiwa sasa kugeuka kuwa Nguvu Zaidi, Ari Zaidi, na Kasi Zaidi, je mwenzetu safari hii tathmini yako ikoje kuhusu maisha ya Mtanzania wa hali ya chini??

Nadhani pia ni muhimu nikukumbushe kwamba ni chini ya wiki mbili kutimia Mwaka Mmoja tangu Mhe Kikwete atangazwe na Jaji Makame kwamba kapata upya ruksa ya upangaji katika Jumba letu pale Magogoni.

Wanabodi, kama kuna mtu mwingine yeyote yule mwenye tathmini nzuri zaidi kuhusu mabadiliko ya bei kwa kipindi hicho chote basi uwe huru kutuhabarisha humu.

Wakuu, kwa heshma zote nawashilisha hoja.

Gesi (15kg) from 45,000 to 70,000
Sadolin ya mkaa iliyokuwa inauzwa 1500 sasa ni 3000

kwa sisi wajenzi nondo zile za 12,000 sasa ni 17,000! kwa kifupi vifaa vya ujenzi vimepanda sana! kama hujajenga kihalali....

Mechi inaendelea natamani hali hii iendelee ifikie watu kushindia maji tu! shida zikiongezeka haya yatatokea:

1. Akili ya kuchagua viongozi bora itakuja tu!

2. watu watakuwa sensitive na hali ya nchi na sio kukurupuka tu

3. Mijadala ya kidini haitakuwepo, maana woote wamakonde, wamalira, wanyakyusa, wachaga, wangindo, wapogo wote wana suffer the same. waislamu na wahindu, wakristo na wapagani watapata shuruba ile ile! tutaona kama akili hazitakuja kichwani,

4. wale wasomi 'graduate' wanaotembelea magari ya mikopo na kupanga Sinza, huku wakiwa weredi wa vikao vya harusi na kushinda kuchoma mafuta yaliyopanda bei HUKU WAKIWA HAWANA MPANGO NA ISSUE ZA KITAIFA wataamka!!

we need same platform ili TUELEWANE!!, shida tu zitawakomboa watanzania, kelele tumepiga watu bado wanawachagua CCM!!!

Acha maisha magumu yaongezeke JK kanyaga twende!!!!
 
Kila siku nikipita ndani ya daladala hapo ubungo. Kijana mmoja huuza 'cha kuchokonolea kucha' - panga kali. Hupita nikimuangalia tu! Juzi baada ya muda mrefu nimemuulizia bei yake! Ni bidhaa pekee inayokua, its demand is highly growing! Wanunuzi tunaongezeka!
 
Lakini kama utaratibu kumbe ni bei za bidhaa na huduma kumbe mtindo wake ni kuendelea kupanda tu, je kwa Tanzania bei hizo zitakua zimepanda kwa kiwango gani Mwaka tangu Kamanda Waberoya atuletee tathmini yake hapa jukwaani??

Hakuna nchi duniani ambayo bei za bidhaa zimeshuka.
 
Jamani.. uchaguzi una matokeo yake. Binafsi sitaki kabisa kusikia mwana CCM au mtu yeyote aliyeunga mkono JK kurudi madarakani analalamikia iwe mafuta au dawa ya vipodozi. Watu lazima wajifunze kuishi na maamuzi waliyoyachukua.

Unafikiri JK ndio anapandisha bei ya mafuta na kushusha bei ya mafuta

Kama unafikiri hivyo there two things involved

Either you are blind or deceived...

If no, then your are pretending
 
Mkuu Tropical,

nakuon tayari uko ndani ya ukumbi hapa sebuleni JF, jana ulifadhaishwa na posti fulani hivi na baadaye nikakutolea ufafanuzu juu ya hilo, vipi hata ukaamua kuendelea na ukimya kana kwamba maelezo hayokutosheleza??

Kama vipi basi leo hii katutolee tathmini ya bei za bidhaa na huduma, mwaka mmoja tangu uchaguzi umalizike mwaka jana huku tukisikia Mkullo na mkutano wa dharura kuhusi shilingi yetu kuelekea 1,700 kwa dola moja ya ki-Marekani - ambayo tafsiri yake unaifahamu vema.
 
Osama aliwauliza vijana wake:

"Kwa nini kutumia panga kukata mti wakati shoka lipo......???"

Msihangaike na kupanda kwa bei ya vitu. Hiyo siyo tija sana.

Watu kama Mapolisi, TISS, JWTZ, Waalimu, Magereza, nk wanasaidia sana CCM.

Hawa dawa yao ni HAZINA IKOSE PESA.

YES, naombea HAZINA ya TANZANIA Ishiiwe FEDHA.

Hapo tutawaona hao FFU na Wauwaji Mapolisi wa Tz wakihaha................

Najua ni wapi mnapata mafunzo ya kukomoa wananchi ili you are ill intentions zifanikiwe

lakini hadanganywi mtu
 
Mkuu Tropical,

nakuon tayari uko ndani ya ukumbi hapa sebuleni JF, jana ulifadhaishwa na posti fulani hivi na baadaye nikakutolea ufafanuzu juu ya hilo, vipi hata ukaamua kuendelea na ukimya kana kwamba maelezo hayokutosheleza??

Kama vipi basi leo hii katutolee tathmini ya bei za bidhaa na huduma, mwaka mmoja tangu uchaguzi umalizike mwaka jana huku tukisikia Mkullo na mkutano wa dharura kuhusi shilingi yetu kuelekea 1,700 kwa dola moja ya ki-Marekani - ambayo tafsiri yake unaifahamu vema.

Bahati mbaya tu mkuu sijaiona hiyo post..

Bei ya vitu kupanda si tatizo la JK wala chama..

Ni tatizo la dunia, ni tatizo la kutumia paper money

Huwezi ku-conceive hii uzi kwasababu umelogwa na siasa za chadema

Bei ya vitu haitashuka hata aje nani mpaka tufumue mfumo wa kibenki duniani

Niambie ni wakati gani kwenye historia bei ya vitu ilishuka?
 
Duh!Engineer is back.Ndugu Waberoya,samahani tulikwaruzana kidogo huko nyuma kwenye misimamo flani.Tafadhali dont take it personal.Rudi jamvini tukate issue,hoja kwa hoja.
 
Wakati ntegemea Mzee Mwanakijiji yeye atakujibu tu kwa nafasi yake baadaye, mimi labda nichukue tu fursa hii kukukumbusha ya kwamba uchumi nawirishi ni matokeo ya ubora wa uongozi wa taifa husika katika kipindi fulani.

Ila kinyume na hapo, sikweli kwamba mazingira ya BORA UONGOZI nao hauna mguso wake katika maendeleo ya uchumi wa nchi - laa hasha!! Siku zote, katika mazingira ya BORA UONGOZI matokeo yake huwa ni UCHUMI UNAONAWIRISHA kwa wateule tu.

Sasa mpaka hapo mkuu, hebu tupe maoni yako zaidi kama bado hoja yako ni kwamba shilingi yetu kutitia hadi kufikia thamani ya 1,700 kwa dola moja bado tu haina uhusiano na uongozi wa leo?

Unafikiri JK ndio anapandisha bei ya mafuta na kushusha bei ya mafuta

Kama unafikiri hivyo there two things involved

Either you are blind or deceived...

If no, then your are pretending
 
Wakati ntegemea Mzee Mwanakijiji yeye atakujibu tu kwa nafasi yake baadaye, mimi labda nichukue tu fursa hii kukukumbusha ya kwamba uchumi nawirishi ni matokeo ya ubora wa uongozi wa taifa husika katika kipindi fulani.

Ila kinyume na hapo, sikweli kwamba mazingira ya BORA UONGOZI nao hauna mguso wake katika maendeleo ya uchumi wa nchi - laa hasha!! Siku zote, katika mazingira ya BORA UONGOZI matokeo yake huwa ni UCHUMI UNAONAWIRISHA kwa wateule tu.

Sasa mpaka hapo mkuu, hebu tupe maoni yako zaidi kama bado hoja yako ni kwamba shilingi yetu kutitia hadi kufikia thamani ya 1,700 kwa dola moja bado tu haina uhusiano na uongozi wa leo?

Ubora wa kiongozi haupimwa kwa thamani ya shillingi tu..

Kuna mambo lukuki hapa tukianza kuweka tutaharibu thread ambayo JK amefanya kiuchumi kupita rais yeyote bongo

Kwenye mada niambie ni wakati gani bei ya vitu iliwahi kushuka popote duniani?

1961-----1985 (bei ilikuwa ikipanda tu)
1985----1995 (bei za bidhaa ilikuwa ikipanda tu)

1995----2005 (bei ya bidhaa ilikuwa ikipanda tu)

2005----2015 (bei ya bidhaa itapanda tu)

2015---- above (bei ya bidhaa itapanda tu hadi system ya paper money i burst ..(huu uzi wewe huwezi kuuelewa !
 
Hili nalo neno! Hao unaowaita wasomi ni tatizo kupita maelezo. Hakuna cha usomi wala nini. Nitakupa mfano, walioko vyuoni watagoma kwa kukosa mikopo lakini hawatagoma kupinga Dowans kulipwa....huo ndio usomi wao! Sina zaidi maana nataka kujichoma moto!

Mzee usijichome moto ukombozi upo karibu sana
 
Ubora wa kiongozi haupimwa kwa thamani ya shillingi tu..

Kuna mambo lukuki hapa tukianza kuweka tutaharibu thread ambayo JK amefanya kiuchumi kupita rais yeyote bongo

Kwenye mada niambie ni wakati gani bei ya vitu iliwahi kushuka popote duniani?

1961-----1985 (bei ilikuwa ikipanda tu)
1985----1995 (bei za bidhaa ilikuwa ikipanda tu)

1995----2005 (bei ya bidhaa ilikuwa ikipanda tu)

2005----2015 (bei ya bidhaa itapanda tu)

2015---- above (bei ya bidhaa itapanda tu hadi system ya paper money i burst ..(huu uzi wewe huwezi kuuelewa !

Huo uchumi ulisomea chini ya mwembe wakati wa mvua
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom