JK Kanyaga twende, ukombozi wa watanzania u mikononi mwako!

Waberoya umegusa hisia zangu na zaidi umeongea kweli iliyo kweli
Ni matatizo na shida pekee ndio zinanafasi ya kutufundisha watanzania namna ya kupata viongozi waadilifu na watendaji, watu wameimba sana lakini hatuelewi. Maisha yapande na serikali ikose pesa hadi ishindwe kulipwa mishara ya wanyakazi
 
Gesi (15kg) from 45,000 to 70,000
Sadolin ya mkaa iliyokuwa inauzwa 1500 sasa ni 3000

kwa sisi wajenzi nondo zile za 12,000 sasa ni 17,000! kwa kifupi vifaa vya ujenzi vimepanda sana! kama hujajenga kihalali....
Bei ya Bia nayo imepanda?
 
Osama aliwauliza vijana wake:

"Kwa nini kutumia panga kukata mti wakati shoka lipo......???"

Msihangaike na kupanda kwa bei ya vitu. Hiyo siyo tija sana.

Watu kama Mapolisi, TISS, JWTZ, Waalimu, Magereza, nk wanasaidia sana CCM.

Hawa dawa yao ni HAZINA IKOSE PESA.

YES, naombea HAZINA ya TANZANIA Ishiiwe FEDHA.

Hapo tutawaona hao FFU na Wauwaji Mapolisi wa Tz wakihaha................
 
Mechi inaendelea natamani hali hii iendelee ifikie watu kushindia maji tu! shida zikiongezeka haya yatatokea:

1. Akili ya kuchagua viongozi bora itakuja tu!

2. watu watakuwa sensitive na hali ya nchi na sio kukurupuka tu

3. Mijadala ya kidini haitakuwepo, maana woote wamakonde, wamalira, wanyakyusa, wachaga, wangindo, wapogo wote wana suffer the same. waislamu na wahindu, wakristo na wapagani watapata shuruba ile ile! tutaona kama akili hazitakuja kichwani,

4. wale wasomi 'graduate' wanaotembelea magari ya mikopo na kupanga Sinza, huku wakiwa weredi wa vikao vya harusi na kushinda kuchoma mafuta yaliyopanda bei HUKU WAKIWA HWANA MPANGO NA ISSUE ZA KITAIFA wataamka!!

we need same platform ili TUELEWANE!!, shida tu zitawakomboa watanzania, kelele tumepiga watu bado wanawachagua CCM!!!

Acha maisha magumu yaongezeke JK kanyaga twende!!!!

imekaa vizuri sana hiyo.
 
Osama aliwauliza vijana wake:

"Kwa nini kutumia panga kukata mti wakati shoka lipo......???"

Msihangaike na kupanda kwa bei ya vitu. Hiyo siyo tija sana.

Watu kama Mapolisi, TISS, JWTZ, Waalimu, Magereza, nk wanasaidia sana CCM.

Hawa dawa yao ni HAZINA IKOSE PESA.

YES, naombea HAZINA ya TANZANIA Ishiiwe FEDHA.

Hapo tutawaona hao FFU na Wauwaji Mapolisi wa Tz wakihaha................
yahaa ni kweli hazina wakikosa pesa mchezo umekwisha.wauaji wa arusha watakua wapole sana.
 
Nina hasira sana na huu utawala dhalimu, hata sijui nifanye nini!

kaka kuna wakati ni kuvumilia tu, juzi JK katuweka foleni kisa msafara wake almanusra niuvamie kwa gari langu!!

Bei ya Bia nayo imepanda?

is it basic needs?

Sikutegemea kama wana jamii wanaweza ombea mabaya nchi yao, ili iweje?. na wasi wasi na ninyi mtakuwa hamuishi TZ so wananchi watapokuwa wakifa njaa ninyi mnakula keki mamtoni, somalia kila leo watu wanakufa njaa ni mapinduzi gani yameshafanyika?.

kampeni zimeshaisha kilichobaki ni kujenga nchi.

niko Tanzania tena Tabata! watanzania wengi hatuna uchungu na nchi hii!! acha maisha magumu yatufundishe!

4. wale wasomi 'graduate' wanaotembelea magari ya mikopo na kupanga Sinza, huku wakiwa weredi wa vikao vya harusi na kushinda kuchoma mafuta yaliyopanda bei HUKU WAKIWA HAWANA MPANGO NA ISSUE ZA KITAIFA wataamka!!

mkuu hapo umnena...................

Thanks! wasomi wengi nchi hii hawana mpango na issue za kitaifa, simpkly they are bridges to pass on deal za kifisadi!
 
Bei ya Bia nayo imepanda?

Itafikia hata pesa ya kuwalipa nyinyi kwenye kitengo chenu cha proganda hakuna, au ccm wataona kitengo cha propaganda kimepitwa na wakati, hapo ndipo utakapotubu na kuungana na wazalendo kudai mabadiliko, kwa sasa tunakusamehe 7 mara 70, sio kosa lako ni njaa, na njaa na akili haviwezi kwenda pamoja. time will tell.
 
gesi (15kg) from 45,000 to 70,000
sadolin ya mkaa iliyokuwa inauzwa 1500 sasa ni 3000

kwa sisi wajenzi nondo zile za 12,000 sasa ni 17,000! Kwa kifupi vifaa vya ujenzi vimepanda sana! Kama hujajenga kihalali....

Mechi inaendelea natamani hali hii iendelee ifikie watu kushindia maji tu! Shida zikiongezeka haya yatatokea:

1. Akili ya kuchagua viongozi bora itakuja tu!

2. Watu watakuwa sensitive na hali ya nchi na sio kukurupuka tu

3. Mijadala ya kidini haitakuwepo, maana woote wamakonde, wamalira, wanyakyusa, wachaga, wangindo, wapogo wote wana suffer the same. Waislamu na wahindu, wakristo na wapagani watapata shuruba ile ile! Tutaona kama akili hazitakuja kichwani,

4. Wale wasomi 'graduate' wanaotembelea magari ya mikopo na kupanga sinza, huku wakiwa weredi wa vikao vya harusi na kushinda kuchoma mafuta yaliyopanda bei huku wakiwa hawana mpango na issue za kitaifa wataamka!!

We need same platform ili tuelewane!!, shida tu zitawakomboa watanzania, kelele tumepiga watu bado wanawachagua ccm!!!

Acha maisha magumu yaongezeke jk kanyaga twende!!!!

kweli jk wacha akanyage twende kimbelmbele chetu wenyewe.
 
Hivi ina maana joseph koni wa tz hawezi kupatikana katika watanzania millioni 40?
 
Gesi (15kg) from 45,000 to 70,000
Sadolin ya mkaa iliyokuwa inauzwa 1500 sasa ni 3000

kwa sisi wajenzi nondo zile za 12,000 sasa ni 17,000! kwa kifupi vifaa vya ujenzi vimepanda sana! kama hujajenga kihalali....

Mechi inaendelea natamani hali hii iendelee ifikie watu kushindia maji tu! shida zikiongezeka haya yatatokea:

1. Akili ya kuchagua viongozi bora itakuja tu!

2. watu watakuwa sensitive na hali ya nchi na sio kukurupuka tu

3. Mijadala ya kidini haitakuwepo, maana woote wamakonde, wamalira, wanyakyusa, wachaga, wangindo, wapogo wote wana suffer the same. waislamu na wahindu, wakristo na wapagani watapata shuruba ile ile! tutaona kama akili hazitakuja kichwani,

4. wale wasomi 'graduate' wanaotembelea magari ya mikopo na kupanga Sinza, huku wakiwa weredi wa vikao vya harusi na kushinda kuchoma mafuta yaliyopanda bei HUKU WAKIWA HAWANA MPANGO NA ISSUE ZA KITAIFA wataamka!!

we need same platform ili TUELEWANE!!, shida tu zitawakomboa watanzania, kelele tumepiga watu bado wanawachagua CCM!!!

Acha maisha magumu yaongezeke JK kanyaga twende!!!!
Komredi unacheza na akili za watanzania!!! UNAWEZA KULIA AU KUTAMANI KUHAMA NCHI UKIYAFIKIRIA HAYO! Mnaweza kuelewana kabla ya uchaguzi ila miujiza n pale wanapopiga kura na si ajabu ukaambiwa aaah mi nimeona bora niwape haohao maana nimewazoea!! wengine wanaenda mbali zaidi... alisikia wimbo wembe ni uleule basi kanogewa kawapa!!! Yaani tumeshazoea shida!!! Tukiambiwa tunasikiliza lakini tunatenda kinyume, na tukitenda hatutendi yanayostahili kwa wakati huo!!! Sisi ndio Watanzania amani na upendo daima!!! Kama ulivyosema wacha tucharazike akili zitaingia tu! ipo siku watuwatajua kwamba wao wenyewe ndio sababu yamatatizo yao. Hii yeboyebo zitaleta ukombozi, leo ziko ovyo lakini wapo watakaotoka pale alau watakuwa wameona kidogo.
 
Itafikia hata pesa ya kuwalipa nyinyi kwenye kitengo chenu cha proganda hakuna, au ccm wataona kitengo cha propaganda kimepitwa na wakati, hapo ndipo utakapotubu na kuungana na wazalendo kudai mabadiliko, kwa sasa tunakusamehe 7 mara 70, sio kosa lako ni njaa, na njaa na akili haviwezi kwenda pamoja. time will tell.
Na kabla hujaeenda mbali mwaka huu njaa ipo! sisi wakulima hatukuvuna inavyostahili na mvua kwa msimu huu mdogo zimegoma tegemeeni kununua sembe Tshs 1100 wa kilo na mchele ukifika TShs 2000 kabla ya Machi msishangae! Kile kilimo cha umwagiliaji kilichoasisiwa na Waziri aliepita ndio usanii mtupu kote!! nyie acheni tu...

JK kanyaga twende!! Labda waliolala wataamka!
 
Yazidi kuwa magumu paka akina Topical and the co wajue! Na bado nauli inapanda....hureeeeeeee! maisha yanazidi kuwa magumu kwa nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi!

Tatizo la dunia hili siyo Tanzania tu..kila mahali kila kitu kimepnda

Always Maisha ni challenge kama hakuna kinachonda yatkuwa maisha?

Kuna wanaofaidi kwa kupanda na wanaoteseka, kufa kufaana wahenga walisema..umesahau?
 
wameweka CCM kama dini vile! dini zenyewe watu wanahama kilasiku! wana mtindio wa akili

Shida ikitokea, wakati haujui familia yako itakula nini usiku, hujui utapata wapi pesa za kununulia dawa za watoto! akili itakuja we will not wait elections or politics, we will do actual things at that particular time kujikomboa na hali hiyo, matokeo ya kitakachofanyika kinaweza kikawa kibaya sana na cha kukumbukwa!!! mapinduzi yatatokea na hii ni kila nyanja.

safi mkuu!

wengi wao wanauza kahawa na kucheza bao! wengi wao ni wale wenye vipato vya hakika ambao kutuelewa tunasema nini mpaka waguswe na hali halisi!!!
Wale wanaochza mabao na kuuza kahawa huku wakitegemea nyumba za urithi sasa kodi imeshakuja ya nyumba za kupangisha! Kitaeleweka tu sheshe ni wale wanene ambao hata bei za vitu madukani na sokoni hawazitambui kwa maana kila kitu wananunuliwa huku kampuni za vinywaji zikishindana kupeleka vinywaji moto na baridi kana kwamba kuna vioski majumbani kwao!
 
Osama aliwauliza vijana wake:

"Kwa nini kutumia panga kukata mti wakati shoka lipo......???"

Msihangaike na kupanda kwa bei ya vitu. Hiyo siyo tija sana.

Watu kama Mapolisi, TISS, JWTZ, Waalimu, Magereza, nk wanasaidia sana CCM.

Hawa dawa yao ni HAZINA IKOSE PESA.

YES, naombea HAZINA ya TANZANIA Ishiiwe FEDHA.

Hapo tutawaona hao FFU na Wauwaji Mapolisi wa Tz wakihaha................

Utaomba sana lakini maombi yenu mabaya hayasikilizwi na Muumba, wengine tunaomba mema tu yatokee.
 
Hivi yule aliyesema Chaguo la Mungu yupo wapi siku hizi? pengine hata kuomba radhi anaona haya..Unajua ndio tabu ya kuongea sana, matokeo yake ni aibu na kukosa credibility mbele ya watz.

hata Bibilia takatifu walikuwepo wafalme chaguo la Mungu wakaasi wakawa chukizo mbele za Mungu.the same to JK
 
Nina hasira sana na huu utawala dhalimu, hata sijui nifanye nini!
Kijana Tunisia alikwenda akajipiga kiberiti kwenye jengo la wizara!! Unaweza kuwa mfano kwa watanzania!!

Kweli JK Kanyaga twende!!! ama hatujazikwa tungali hai sijui!! Toka mwaka 1980 tulipoambiwa tufunge mikanda miezi kumi na nane ya shida nadhani walimaanisha miaka 180!!!

Si JK kanyaga twende tu bali hii ni CCM Kanyaga twende!!!
 
Jamani.. uchaguzi una matokeo yake. Binafsi sitaki kabisa kusikia mwana CCM au mtu yeyote aliyeunga mkono JK kurudi madarakani analalamikia iwe mafuta au dawa ya vipodozi. Watu lazima wajifunze kuishi na maamuzi waliyoyachukua.
huo nio ukeli wenyewe MM lakini usishanga na wao wanalia kama sisi kwa ubovu wao wa kuchagua!!!
 
Jamani.. uchaguzi una matokeo yake. Binafsi sitaki kabisa kusikia mwana CCM au mtu yeyote aliyeunga mkono JK kurudi madarakani analalamikia iwe mafuta au dawa ya vipodozi. Watu lazima wajifunze kuishi na maamuzi waliyoyachukua.

Nashukuru kwa kukiri kwako kuwa JK kachaguliwa na wananchi.
 
Back
Top Bottom