JK & EL In London - Boys II Men Still Locking!

Lowasa angeachana tu na huyu jamaa, yeye inaonekana anamsemesha mambo serious yeye inaonekana anampotezea ile live kabisa. au anaona soni kuangaliana na edo usoni
 
c4.jpg


Rais Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge wa Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mh. Edward Lowassa muda mfupi baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza Julai 12, 2012.

Mshikaji unavyoniminyia sio poa lakini basi tena!
 
Unajua mkiwa maadui mkikutana nje ya nchi mnaweza mkasahau tofauti zenu.
Wakirudi bongo mambo yako palepale
 
Angalia hii picha number 1
lowasa.JPG


Na hii picha number 2 kushoto!
c4.jpg


Hapa ndipo utajua Lowassa baada ya yule mkwe wake kupigwa chini kule Arumeru Mashariki basi tokea hapo afya yake imezoofika sana kama picha number mbili inavyosema. Anahitaji lishe mbadala.
 
Back
Top Bottom