JK & EL In London - Boys II Men Still Locking!

Allien

JF-Expert Member
Jul 6, 2008
5,546
1,861
c4.jpg

Rais Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge wa Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mh. Edward Lowassa muda mfupi baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza Julai 12, 2012.
 
Nimeweka maelezo tayari. Ya Tarehe 12 Julai 2012
Now its more clear! Wamependeza, ingawa wote usoni mwao wanaonekana kuchoka (sipendi kusema "dhaifu")...sijui ni stress,uzee au ni unafiki tu!
 
Ngozi ya shingo inaonyesha kazeeka zaidi ya JK. Ngozi ya mashavu JK kazeeka zaidi.

EL anamwangalia JK. JK hamwangalii . . .
 
c4.jpg

Rais Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge wa Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mh. Edward Lowassa muda mfupi baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza Julai 12, 2012.

Mh Lowassa anaonekana kuchoka kweli, sijui ni uzee ? anahitaji kupumzika na kukaa mbali na siasa.
 
Back
Top Bottom