JK atarudi na mawaziri 60 tena?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Wana JF msiwe watu wa kukurupuka tuu na maneno. Kipimo cha uadilifu wa JK tutauona pale akiamua kufanya yafuatayo:

-KURECYCLE VIZEE VYA ZAMANI KWENYE BARAZA LAKE JIPYA

-KUMPA UWAZIRI MKUU KIKONGWE KINGONE

-KUENDELEA KUWA NA MAKATIBU WAKUU WALE WALE

-BARAZA LAKE LA MAWAZIRI KAMA LITAKUWA LIMEJAA WAPIGA DOMO/WANASIASA



Kama akaitaka watu wamchukulie serious basi awe na mawaziri 10 maximum

sasa sijajua VX moja ni kiasi gani na kila waziri ana wacost walipa kodi kiasi gani
 
Back
Top Bottom