JK ashusha panga: Filikunjombe, Lembeli, Mkono, Bashe, Kingwangalla, Premji, Diallo watoswa

Safi sana JK umethubutu,ni bora uondoe zana ya ufalme katika chama. Haiwezekana kiongozi kuwa na kapu la vyeo vyama na kuvitumia kama silaha kwa maadui zake.

Hapo kwenye red, are you serious? JK = mfalme, Mama Salma = Malkia, Ridhiwani = Mwanamfalme.
 
Kura ya Ridhi1 na Firstlady lazima iende kwa chaguo la JK. Nikiangalia permutations zangu naona kama MEMBE ananafasi kubwa hasa ukizingatia Sitta bado yumo NEC
 
Hongereni CCM kwa kuhukua hatua ngumu kiasi hiki na kuepuka ushabiki kwa kusimamia misingi ya chama na kuangalia uwezekano wa kupata watu wanaoaminika ndani ya chama. Yawezekana kuna kasoro kadhaa ila mmejitahidi sana.

Mtawalaumu bure ila kuna mengi yaliyojificha kwa wanasiasa hawa, hasa hawa tunaowaona maarufu kwakuwa tu wanajua kutumia opportunities na vyombo va habari kupata umaarufu. Bahati mbaya sana CCM kuwepo madarakani kunaifanya iwe na nafasi nzuri ya kutumia system kucollect information na evidence za kukisaidia kufanya maamuzi. Kuna madudu mengi na rough mbaya sana inayofanywa na wanasiasa, na wakati mwingine unajiuliza wanaipenda nchi kweli, chama au maslahi yao tu ndio yanawafanya wahangaike hivi?

Pamoja na mabadiliko haya, CCM bado ina na fasi kubwa ya kushinda kutokana na udhaifu wa wazi unaojionyesha katika utendaji wa vyama vya soasa. Usisahau, wanaohesabiwa ni wapiga kura si washabiki wa chama. Sina uhakika kama hili somo linaeleweka kwa vyama vingine vya siasa.
 
Jamani wengi tunachangia mada bila hata kujua tunachangia nini. Kwa wabunge kama FILIKUNJOMBE kutakuwa na madhara gani kwake kwa kuondolewa kwaje nec. Si vibaya kulijua hili. Wenye hekima watanijibu asanteni.
 
Mkuu! GAMBA ni la wanyama aina ya mijusi (Reptiles) kama vile nyoka,kinyonga, kobe, kasa n.k. Mti una GOME na siyo GAMBA. CCM wana GAMBA na siyo GOME.
 
low reputation .... priority for selection of an MP nominee is to be a NEC member
 
Shida iliyopo ndani ya chama hiki cha wakubwa ni makundi, kuachwa kwa Dialo na mwingine kuhoji kwanini ni jambo lililo wazi kuwa mnyukano ni mkubwa kupita kiasi na/lakini kikubwa ni swala zima la kuandaa mazingira na mipango thabiti ya kupanga safu za uongozi kwa awamu ijayo.

Katika chama hiki wapambanaji HAWAHITAJIKI na hili halina mjadala. CCM kina wenyewe..... na hili halina ubishi. Hata ukisema wanapambana na ufisadi yako wapi? Wale wale wamerejeshwa, waitwao mafisadi wamo na wengine mpango makundi.YETU MACHO.
 
PASCO, Akili imekuingia, hapa CCM walikuwa wakihakikisha kwamba rafiki yako out, na kwamba wamejipanga hawampi mwanya, kule Shinyanga - chali, umenielewa. Tafakari mkuu, magamba ni zaidi ya ujuavyo.
 
Safi sanaaaa hiki ni chama imara ukileta fujo nenda chadema mkachapane mapanga hapa ni ushindi 2015 kama kumsukuma mlevii!!
 
Jamani wengi tunachangia mada bila hata kujua tunachangia nini. Kwa wabungu kama FILIKUNJOMBE kutakuwa na madhara gani kwake kwa kuondolewa kwaje nec. Si vibaya kulijua hili. Wenye hekima watanijibu asanteni.
Ukiwa ndani ya NEC inakuwezesha kuwa Fisadi Mkuu bila ya kukamatwa na kufunguliwa mashitaka. kwa maana nyingine unakuwa na cheti au leseni ya kufanya ufisadi na kutetewa
 
WAKATI WATANZANIA WAKIENDELEA KUPAMBANA NA KUONA JINSI YA KUTOKA KWENYE LINDI LA MATATIZO YANAYOWAKABILI, chama cha "wenye dola" KINABURUDIKA KAMA inavyoonekana hapa. Ni kuthibitisha tu lile tangazo la Coca-Cola kuwa ni kweli. Wanazo "sababu billioni" za kusherehekea. Moja ni "utajiri wa mali wanazochota" na mbili ni "nguvu waliyonayo juu ya waTz"
4_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bya%2BChama%2Bna%2BVijana%2Bwa%2BCCM.jpg

3_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bwa%2BCCM%2Bna%2Bvijana%2Bwa%2BChama%2Bbaada%2Bya%2Bkuwasili%2Bnje%2Bya%2Bukumbi.jpg



Hii ndiyo CCM na mwenyekiti wake ni burudani tupu, hapo nchi itajengeka kwa mtindo huu?
 
ninyi chadema wanafiki sana. madiwani arusha mmewatoa mnaona sawa na mwanza wanachama wawili sawa. sasa ccm wanatoa wanaoona wao wasiogfaa kinawauma. acheni tabia za kike. chama ni umoja, huwezi kwenda kinyume na chama. mbona ninyi mlikua tofauti na shibuda alipotaka posho. mnashabikia ujinga. cha maana elezeni sera si watu:-*
 
Back
Top Bottom