JK ashusha panga: Filikunjombe, Lembeli, Mkono, Bashe, Kingwangalla, Premji, Diallo watoswa

Hapite tuu lakini ni fisadi wa kutupa na watu wa mwanza hawataki mafisadi si unakumbuka walipomtosa ubunge anakimbilia chaka la CCM maana anajua kwa ufisadi wake hacchgukui jimbo hilo tena...sijui lbd CCM yao huko mwanza impe kama nao wanafagilia mafisadi na njaa zao huku CCM yao ikikosa mvuto kwa sababu ya watu kama mafisadi hao
 
Back
Top Bottom