JK aita waandishi

Prof.Lipumba,Zitto kabwe,Mnyika,Tundulisu,Kafyulira,Hammad Rashd,January Makamba,Zambi,n.k.(Halima Mdee,Mrema,oh typig error)No.Natamani wawepo kwenye baraza jpya.
 
Ni vigumu kwa Lipumba kuingia, kwa sababu si mbunge. Na hata akiteuliwa kuwa mbunge it means Bunge la dharura liitishwe ili aapishwe (ubadhirifu wa pesa posho kwa wabunge wote). Ni vigumu,, ongeleeni watu wengine

Sio lazima bunge liitishwe ndio aape... anaweza kuapishwa na spika tu na mwanasheria mkuu na katibu wa bunge wakiwepo inatosha
 
yaani kuna Thread zimetoka katika Vijiwe vya Kahawa Mitaani.

Ukitaka kuamini hapa Ulizia Source kwa mtoa Thread kama utaipata!!!!!!!



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!


Ungesoma post zote wala usingeshangaa, niliwaambia jana kuwa JK alikuwa na shughuli nyingine na wanahabari leo wala sio kama mtoa thread alivyotaka kutufikirisha kuhusu cabinet
 
Back
Top Bottom