maoniyangu
Member
- Jul 9, 2011
- 53
- 4
Wana JF,
Habari za uhakika toka ndani kabisa zinasema kwamba JK ameita mkutano wa waandishi wa habari kesho asubuhi pale Ikulu. Hii ni wazi kwamba baraza la mawaziri litatajwa hapo. Hii ni uhakika kabisa.
Nawasilisha
habari chanel ten, raisi kesho atazindua mwongozo wa vyombo vya habari afrika, so haihusiani na baraza hapo. Wameitwa tu kushiriki. Bussiness as usual, mtangoja milele.