JK aita waandishi

Koffie

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
433
92
Wana JF,
Habari za uhakika toka ndani kabisa zinasema kwamba JK ameita mkutano wa waandishi wa habari kesho asubuhi pale Ikulu. Hii ni wazi kwamba baraza la mawaziri litatajwa hapo. Hii ni uhakika kabisa.
Nawasilisha
 
Anatarajia kutoa taarifa ya safari yake ya Brazil maana alikuwa bado hajaongea na waandishi wa Habari, hakuna cha Mawaziri wapya. Hilo bado anatafakari kwa kuwa list imegoma bado Wizara tatu zinakosa watu.
 
Ni vigumu kwa Lipumba kuingia, kwa sababu si mbunge. Na hata akiteuliwa kuwa mbunge it means Bunge la dharura liitishwe ili aapishwe (ubadhirifu wa pesa posho kwa wabunge wote). Ni vigumu,, ongeleeni watu wengine
 
Ngoja tusimsemee mana kesho si mbaali-coz unaweza sema hiki then yeye akaibuka na mambo mengine kabiiiiisa-eg kilimo kwanza
ngoja tumsubirie tuone atasemaje
 
Mheshimiwa wetu labda anataka kuwatangazia umma kupitia kwa waandishi wa habari kua kuanzia leo yeye kusafiri nchi za nje kuhudhuria misiba na kwenda kutanua brazil kucheki samba chicks au kule uk/states kuangalia investments zake zinaendaje sasa basi...hatasafiri tena na kwamba kuanzia leo misiba itakua inahudhuriwa na viongozi wa ngazi za chini i.e waziri mkuu since huyu bwana(PM) hana kazi sana pale ofsini kwake zaidi ya kuzomewa na wabunge wakati wa kipindi cha bunge:biggrin1:
 
... eti huyu huyu Makongoro Mahanga (na yale madhambi yake yote NHC) sasa ndiye Waziri mpya wa Fedha huyu, my foot!!!

Hili ni baraza lililoshindwa hata kabla ya kuwekwa wazi hewani. Wizi wa maboksi ya kura hadi kuhamisha kabisa hazina ya taifa pale Benki Kuu huyu jamaa.


Yawezekana Makongoro Mahanga kuwepo ndani ya baraza jipya.
 
Wana JF,
Habari za uhakika toka ndani kabisa zinasema kwamba JK ameita mkutano wa waandishi wa habari kesho asubuhi pale Ikulu. Hii ni wazi kwamba baraza la mawaziri litatajwa hapo. Hii ni uhakika kabisa.
Nawasilisha

Mbona tuko nae lushoto? Hata dalili za kurudi dar hana, ....
 
Back
Top Bottom