Nilivyoendesha gari na chupi tu

GITWA

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,521
1,723
Ni siku nyingi zimepita lakini hili jambo sijawahi kulieleza popote pale.

Leo nalieleza na kutaka kujua kama kuna waliowahi kukutana na hii hali waje nao hapa watoe yaliyowasibu.

Mwaka 2013 nilikuwa Kahama nikifanya kazi mgodi wa Buzwagi kipindi hicho. Siku moja natoka kazini niko na mfanyakazi mwenzangu tukakatiza karibu na ilipo super market ya Ndegesera. Hapo kukatokea kibinti bomba sana, kwa kuwa uelekeo wetu ulikuwa mmoja nikaanza kukisemesha nacho hakukuwa na hiana majibu yake yalikuwa ya kuridhisha kuanzia hapo tukabadilishana namba za simu kwa ahadi ya kuwasiliana ili tukutane.

Mawasiliano yalipoanza haikuchukua muda tukakubaliana kwenda kumega kipochi manyoya. Nilimpanga siku ambayo nitakuwa sipo kazini. Siku ilipofika alikuja tukaonana Masabo bar ipo karibu na super market ya Ndegesera.

Binti hakuwa mtumiaji wa kilevi hapo alikunywa soda na nyama ya mbuzi mimi nikapiga konyagi na hiyo nyama. Baada ya hapo nikamchukia kwenye gari langu aina ya Toyota Corolla tukaenda guest fulani iko karibu na uwanja wa mpira wa Kahama unaitwa Wwanja wa Taifa.

Hapo nikachukua chumba na kilichofuata ni kumbanjua huyo binti. Nilipiga mashine kama sina akili nzuri vile, mpaka kufika saa saba usiku nilikuwa nishakojoa na kumkojoza vya kutosha. Uchovu ukawa umechukua nafasi yake. Simu nilikuwa nimeweka chini ya kitanda na nguo nimetundika sehemu kutundikia nguo.

Usingizi uliponichukua na binti naye alikuwa amesinzia tayari. Sasa basi majira ya saa kumi alfajiri kuna kitu kama kilinistua vile. Ile nashtuka usingizini naona pazia linapepea na suruali yangu inamalizikia. Nilikurupuka na kusema mwiziii lakini nilikuwa nimechelewa kwani tayari suruali ilishatoka nje ya dirisha nilichoambulia ni vishindo vya mikimbio na yule binti akawa ameshtuka toka usingizini. Baada ya kumueleza kilichotokea alisikitika sana na akaenda kumuamsha muhudumu wa hiyo lodge.

Nilimulaumu sana muhudumu kwa kutonipa tahadhari ya kuwa kuna vibaka wa kulowa vitu madirishani. Yeye naye alisikitika. Wakati huo nimejifunga shuka kujistri.

Baada ya kuona hakuna namna, nilimwambia muhudumu asilale baada ya nusu saa nitatoka. Nilirudi chumbani na huyo mpenzi wangu na kufika kumuinamisha mbuzi kagoma. Nilimpiga hatari huku nikiwa na hasira za kuibiwa na mawazo kitu kilichosababisha nichelewe sana kukojoa. Mpaka nakuja kukojoa alikuwa hoi.

Nilipomaliza nilimwambia naondoka yeye aendelee kupimzika nitakuja kumuona kukipambazuka. Hapo nilitoka nikachukua simu yangu chini ya kitanda na funguo za gari zilizokua karibu na simu nikaenda nyumbani nikiwa na chupi tu.

Uzuri chumba nilichokua naishi kilikuwa na milango miwili mmoja wa nje na mwingi wa ndani hivyo nilipofika nilitumia mlango wa nje kuingia na wakati huo ilikuwa mida ya saa kumi na moja.

Suala ni je, kuna mwingine naye amewahi kukutana na dhahama kami hii?
 
Yule mpumbavu alinikurupusha kichakani nikatoka nduki wa mnyama kabisa halafu kesho yake nakutana na rafiki yangu amebeba ka mfuko ka rambo huku anacheka kishenzi, kumuuliza kulikoni ananiambia eti "we jamaa muoga sana, yani kukustua kidogo tu unakimbia hadi unaacha nguo zako, chukua hizi hapa"
 
Yule mpumbavu alinikurupusha kichakani nikatoka nduki wa mnyama kabisa halafu kesho yake nakutana na rafiki yangu amebeba ka mfuko ka rambo huku anacheka kishenzi, kumuuliza kulikoni ananiambia eti "we jamaa muoga sana, yani kukustua kidogo tu unakimbia hadi unaacha nguo zako, chukua hizi hapa"
Du! Wewe ni zaidi umeniua mbavu
 
2013 bado unavaa TMK wanaume sijui Utajiju sijui VIP

Acha wakuibie tu mvaa chupi wewe
 
Back
Top Bottom