Jirani anataka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu

Kwa kweli mipaka ya viwanja ni changamoto kila mahali! Hasa hivi ambavyo havijapimwa!
Kama angekuwa muungwana asingetumia ukuta wa fensi yako kujenga ukuta wa nyumba bali mngekubaliana kushare fensi moja!
 
Kwenye kiwanja hutakiwi kujenga mwisho kabisa usawa wa mawe ya mipaka, unashauriwa uingie ndani walau mita2, mtu akikufuata huko means amevuka kiwanja chako, wewe umejengaje mkuu
Huyu anayetumia ukuta wa mtu umuachie MITA mbili seriously
 
Sheria zinasema hivyo, isipokuwa mazoea ya watu wengi yapo kinyume na hivyo. Sheria ni kitu kimoja na utekelezaji wa Sheria ni kitu kingine.
Hiyo sheria haipo. Kanuni zilizopo ni za setbacks ambazo zinaelekeza umbali unaotakiwa kujenga jengo lako kutoka kwenye mipaka ya kiwanja.

Kanuni hizo hazihusu ujenzi wa fensi bali majengo na umbali wa kuacha sio mita 2 bali umbali unategemea upande, aina ya jengo na Ukubwa wa kiwanja.
 
Kwa fensi haizuiliwi kujengwa kwenye mipaka ya kiwanja.
 
Wakuu habari zenu,

Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya fensi sasa kimbembe anataka aongeze kozi kadhaa za tofali kwenye fensi yangu ambayo ninataka iishie hpo ilipo na niweke zile electric wire au urembo wa fensi ninao utaka Mimi.

Hivyo ananiharibia plan za kutengeneza fensi ninayoitaka Mimi, mbya zaidi Niko mbali na nyumbani, kwani nyumba nimeijenga huko kanda ya ziwa na Mimi Niko hapa mjin Dar. Ninapomuambia asubiri nirudi ili nione anachotka kufanya anakuwa haelewi...

Kwa mazingira haya nashindwa kumuelewa kabisa kwani kama kiwanja anacho kikubwa kuliko Mimi. Hebu nishaurini maana ugomvi sipendi lakni naona ananichokoza to the maximum.
Serikali ya mtaa haipo hapo kwenu mkuu, hebu nenda kariport fasta
 
picha iko wapi
 
Kwani Kuna shida? Huwa ni kawaida tuu mkikubaliana badala ya kuacha chochoro zisizo na msingi.

Inawezekana ukawa mtu wa Mbeya wewe,nyie ni wabishi sana na wajuaji.
Tutake radhi mkuu mbona Kama unatukana mkoa mzima kwa sababu ya mtu mmoja..!!?
Ni wap mtoa madam kasema yupo mbeya .!?
 
Kwani Kuna shida? Huwa ni kawaida tuu mkikubaliana badala ya kuacha chochoro zisizo na msingi.

Inawezekana ukawa mtu wa Mbeya wewe,nyie ni wabishi sana na wajuaji.
Kwanini watu wa Mbeya mnatuita wabishi na wajuaji ?

Mna matatizo nyinyi sio bure, Mtu kusimamia anachoona ni sahihi unamuita ni mbishi, acheni ujinga
 
Achana naye, amalizie kujenga wewe chezesha fense kidogo piga kona weka fensi yako, mtaonana misibani tu, mengine na yapite tu
 
Back
Top Bottom